Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

nasubiri join wizara ya afya hawajatuma? mwenye kufahamu anijulishe katka rahmanguzo87@gmail.com or 0713527645 plz ......aliepangiwa kcmc nursing dploma tujulishane....:amen:
0 Reactions
1 Replies
776 Views
habari zenu wadau! ebu nisaidieni kuna mtu anatumia vyeti visivyo vyake na ana majigambo saana. so taarifa zake nipeleke wapi kwa hatua zaidi za kisheria?
0 Reactions
26 Replies
3K Views
4m 4 weng cjui wanazungumziaj kuhusu new systm?au bad tunahitaj:help: il tufaulu vzr
0 Reactions
0 Replies
732 Views
laptop nilazma kuwa nayo ..... naenda kusoma diploma ya nursing!! nahitaji ushauri plz????
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wasaalam wakuu..heshima....baada ya kudunda kidato cha nne miaka kadhaa iliyopita, nikaona nikaona niingie mtaani kufukuzana na shilingi...lakini miaka yote hiyo pesa nayo imeota miguu na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
..naomben msaada..kwa yeyote anayejua DAR ES SALAAM STOCK EXCHANGE MARKET ilipo naomba anijuze..nashukuru kwa ushirikiano wenu.
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Wanahitajika vijana 30 watakaokuwa tayari kufanya kazi ndani na nje ya Dar. Sifa za mwombaji awe na div 5 na kuendelea, wenye vyeti vya Bongo Movie na Bongo Flavor watapewa kipaumbele. Tuma maombi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Oy wadau aje..... kama kawaida yangu kuweka historia ya kuzindua kitu kipyaa kila ninakobahatika kusoma ili one day libaki kuwa boongeee la historia kwa madogo.... ndo kwanza nipo mwanzo wa...
0 Reactions
2 Replies
963 Views
Ndugu Wanajamii Wasomi Na Wale Wenzangu Na Mie Wa Kukimbia Umande Nawasalimuni Nyoooote. Leo Napenda Kuwashirikisha Langu Toka Moyoni. Kipindi Kirefu Nimekuwa Najiuliza Hv Elimu Ya Bongo Ina...
0 Reactions
1 Replies
846 Views
Idara ya elimu sekondari Bagamoyo ina kila uozo wa rushwa katika maeneo mbalimbali. Rushwa hizo zimejidhihirisha katika maeneo yafuatayo: 1.Kupangiwa kituo cha kazi: Ili mwalimu apangiwe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
CHUO CHA MZUMBE WAANZISHA SHAHADA YA UZAMILI YA AFYA UTAFITI NA UFUATILIAJI WAKISHIRIKIANA NA CHUO CHA CALFONIA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu ndugu wadau?.Mimi ni mwalimu wa idara ya sekondari wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza,nahitaji kubadilishana na mwalimu aliye katika mikoa ya Pwani,Tanga,Arusha na Morogoro.kwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto aliyekuwa karibu na marehemu aliulizwa 'ni nani kwako aliyefariki ?' akajibu 'kaka mkubwa wa mjomba wake na marehemu ni mjomba wangu' swali 'je marehemu ni nani kwa mtoto?'.
2 Reactions
9 Replies
24K Views
naombeni msaada wana jf, cheti cha mdogo wangu kimepotea na ameishatoa taarifa polisi, nini kinafuata baada ya hapo ili baraza la mitihani waweze kumsaidia. naombeni msaada wenu tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Aliyesoma muhas naomba contact zao mnisaidie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale waliokuja mzumbe kwa masters au hata barchelor na bado hujapata hostel kuna chumba kinapatikana kwenye hostel ya karibu kabisa na chuo.opposite na gate kubwa malipo yake ni nafuu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Watu wengi hukosa kuzifaidi raha kwa kufuata mkumbo wa baadhi ya watu na kujikuta wanaishia katika mikosi na mazingira magumu ya kusomea,kama wewe ni miongoni mwa hao nakukaribisha Mkwawa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
habari zenu wanajamii?Naomba mnisaidie ktk hili,je naweza kuandika kwenye CV yangu ujuzi/elimu ambayo ninayo ila sina cheti kwa sababu ya kututolewa ktk taasisi husika mfano kufundisha temporary...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wanajf, nimesikia tetesi eti kutakuwa na crash programme kwa walimu wa science, je kuna ukwel wowot kuhusu hili?
0 Reactions
0 Replies
879 Views
Back
Top Bottom