wanajamii habari zenu , natumaini ni wazima wa afya tele... pili napenda kuwapongeza wale wote waliochaguliwa kujiunga na vyuo vikuu na taasisi za elimu ya juu
kama kichwa cha habari hapo...
Habari wanajukwaa la elimu na jamii forum kwa ujumla.Kuna mdogo wangu wa kike alichukua CBG na ana point 7.5 amechaguliwa Bachelor of Chemistry.Huyu binti anataka kuhamia environmental health...
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI KAMA...
watafiti wa elimu wamebaini yakuwa hakuna taifa litakalo endelea bila kuwekeza kwenye elimu! Hellow wana JF mnalioneje hili ktk elimu ya kibongo ktk serikali ya kikwete?
MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA MEJA JENERALI RAPHAEL MUHUGA ANAPENDA KUWAALIFU WAHITIMU WOTE WA KIDATO CHA SITA KUWA MAFUNZO YA JKT YATAENDELEA KUENDESHWA KWA AWAMU TOFAUTI TOFAUTI KAMA...
Habari zenu Waheshimiwa sana. Wadau napenda nifahamishwe hii Mechenical Engineering ikn vp, inahusika na nini hasa na vp ushindani wa ajira, inalipa? Wale wa CoET Udsm na wengineo wanaweza nijuza...
Ni matumain yangu wengi hapa jukwaan tumeshawaita walimu kadhaa majina ya utani, au wengine tumepewa hayo majina. Kama vipi TUKUMBUSHANE KIDOGO hapa ni JINA GAN UNALOLIKUMBUKA na KWA NINI?
Kuna utata katika majina ya Mosses Kusiluka wa Mwalimu Nyerere na Dr.Mosses Kusiluka wa Ardhi University. Hili suala linafaa kuchunguzwa kwani Dr.Magoti wa Mwalimu Nyerere Academy ameoa...
BOT sasa wanatoa scholarship kwa wanafunzi mtaopangiwa course za economics ,math,accoun na finance na hata kwa wale watao taka masters...kwa nyie mliomaliza 6 ,lazma uwe na div 1 na uwe umepata A...
NACTE wanaonyesha udhaifu mkubwa sana kana kwamba hawawezi kazi:mfano:
wana applicants wachache kuliko wale wa TCU lkn
1.mpaka sasa hawajafanikiwa kutoa majina wanafunzi wote waliopata vyuo wa...
1.Je kwnn kisu kikali kinakata kwa urahis kuliko kisu butu?
2.Kwnn matank ya maji meng yametengenezw kw rang nyeus?
3.Kwnn meli inaelea ktk maji na sarafu(coin) inazama?
Kw leo hayo yanatosha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.