Kwamujibu wa mkurugenzi mtendaji wa bodi ya mikopo elimu ya juu,ni kwamba mwaka wa masomo 2013/2014,bodi inategemea kuwakopesha wanafunzi 98025.kati ya hao,wanafunzi 35649 ni mwaka wa...
Habari zenu waheshimiwa sana. Wadau hii Mechanical Engineering inahusika na nini hasa? na vp ushindani wake katika soko la ajira, je inalipa! Wana CoET Udsm na wadau wengine na hata Watoa ajira...
2pia coz gan unaenda kusomea ili 2juane mapemaaaa ! ili 2kifika huko 2sihangaike huwez jua 2naweza 2kawa hata room moja,me nipo ba ed in guidence and counseling ,ww je ? ma2c hayaruhusiwi...
Habari wana jf, labda nitoe tu historia kwa ufupi... mimi ni mmoja wa wahitimu wa chuo kikuu mwaka juzi (2011),na kada niliyoisomea ni ya ualimu. ( kwa sasa ni mwalimu), mnamo mwaka 2008...
Nawapongeza NACTE kwa kutoa seletions, Lakini baadhi ya waliochaguliwa majina yao hayajapelekwa vyuo husika. kuna walioangalia profile zao na kukuta wamechaguliwa kwenda IRINGA UNIVERSITY na RUCO...
Ukipenda paitee uclas...! Chuo kinafunguliwa tar 7/oct/2013 for first year orientation na tar 14/oct..! Kwa continous! yoyote anajua tarehe nyinine tofauti na hizo hapo juu
jamani tuliochaguwa st.john ya dodoma tupeane taarifa hapa maana wengine hatujui ata reporting date na admission letter (joining) tutapata vipi kwakuwa kwenye web ya chuo hakuna taarifa hizi...
Natanguliza heshima mbele JF! Kero yangu leo Board ya mikopo kwa wanafunzi wa Elimu ya juu (HESLB). Ukisoma Mission na Vision zake zimelenga kuwasaidia wananafunzi wa kitanzania wenye uhitaji...
Wale tunaotegemea boom nimepostiwa jana na kachala mmoja wa mjengoni kwamba wengi wa wanaoendelea na masomo vyuoni watakosa mkopo kutokana na kutofautiana kwa maelezo yao ya awali na ya sasa...
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na...
Wengi wenu humu ni wageni na wengi wenu mnaonekana either mpo chuo au ndio mmeingia chuo sasa mimi ni mambo machache nataka kushare na nyinyi ndugu zangu
1. ushindani wa chuo unachosoma...
Wakuu wale wa SUA kwa Kozi ya BVM tupeane habari jinsi msuli wake ulivyokaakaa. Pia kuhusu mambo ya mikopo yakoje kwa hiyo Kozi? Ndugu zetu mliotutangulia huko tupeni nyepesi nyepesi kuhusu hii...
Hili suala lina nizingua sana. Nimesoma post za watu kwenye uzi mmoja "sticky" hapo juu kuhusu mambo ya kubadilishana vituo vya kazi.
Nafikiri kinachotushinda wengi hatujasoma standing orders juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.