Nilikua nacheki PROSPECTUS ya MUHAS nikakuta hio instruction : All students will have to join or show evidence that they are members of National Health Insurance Fund or other similar fund at the...
Selection completed for first and second round applicants, please visit your profile to find where you have been selected; and if you don't find enlisted institution where you have been selected...
Baraza la Wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo lakutana kwa kikao cha mwaka cha Utendaji Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Bw. George...
Habari wana JF,mm ni kjana ambae nimepata choice mbili za masomo ambazo ni 1)civil eng 2)computer science
sasa naomba mnishauri kozi ambayo nkisomea itakua rahisi kuajiriwa na kujiajiri
Kwa mfano umechaguliwa Mzumbe University na unataka kujua ndugu zako wa ukoo mtakaoingia pamoja chuoni, nenda CAS katika website ya TCU, kwenye selection results gonga jina la ukoo kwenye surname...
Wanajamvi naombeni mnijuze kuhusu suala la kubadilisha course chuo kikuu kwamba masharti yake yakoje,je!lazima upate mtu ndio mbadilishani ama ni tofauti na hivyo?
MSAADA WENU NI MUHIMU KWANGU
Kuna jamaa yangu kaomba chuo kwa kutumia Equivalent category, katika vyuo vitano alivyoomba vinne tayari selection zake ziko kwenye websites za hivyo vyuo, kimebaki chuo kimoja ambacho ni St...
kwa wale waliotazama taarifa ya habari star tv leo saa mbili usiku bodi wameeachia majina hayo,lakini ukiingia kwenye website yao bado hawajayaweka hivyo tusichoke kutembelea huko natumaini hadi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.