Kwa wale tulio omba Beng katika taasisi ya teknolojia ya dsm(DIT),
Hawa jamaa mbona wako kimya sana na hawajatupa matokeo yetu mpaka sasa au ndio wana subiri NACTE?maswali ni mengi ila majibu...
Mkopo kwa wanachuo wa chaguo la pili na mengineyo kwa mwaka wa masomo na bajeti 2011/12
''MKOPO HAKUNA''
KWA MAELEZO ZAIDI TEMBELEA WEBSITE YA BODI''HESLB''12/10/2011
Habari zenu wakuu
naomba kupata ufafanuzi juu ya mkopo unaotolewa na HESLB
je ni pesa ipi ambayo kila mwanafunzi hupewa sawa sawa na wanafunzi wengine ?
ni pesa ipi ambayo hutofautiana kwa...
Wadau naibu waziri wa elimu mh Philip mulugo yupo ndani ya kipindi cha dk 45, huku mtangazaji akimpiga maswali mazito. Moja ya hoja alizokuja nazo ni ''bridging course'' iatakayo wawezesha form 6...
Bodi ya mkopo ya Elimu ya juu (HESLB) IMEGOMA/IMESHINDWA/IMEKATAA kutulipia ada (Tuition fees) ya mwaka wa masomo wa 2012/2013 . Sakata hili lilianza pindi ambapo mwaka huu wa masomo ulipoanza kwa...
Pamoja na mabadiliko mbalimbali yanayofanywa na tcu kila mwaka ili kuboresha. Nashindwa kuelewa kuwa hivi sasa vigezo vya uwezo wa kifedha, uyatima na ulemavu havifuatwi tena? Facult zinapotumiwa...
Nikwamba TCU imetoa muda zaidi kwa maombi ya vyuo kuanzia kesho tar 3 sept hadi tar 7 sept pia wanaotaka kuhama vyuo na programe nao pia rukhusa kwa maelezo zaidi tembelea website a TCU
Nahtaji Kujua wanafungua Lini?na Vp Sehemu Ya Kuishi?tuwasiliane Kwa Namba Hii0754643558 Kama Kuna Mtu Pia Yupo Mza Kapangiwa Huko Vyema Tujuane Minipo Mza Mabatini
Habari ndugu wanaukumbi?.Mimi ni mwalimu wa sekondari niliyeajiriwa mwaka huu hapa wilayani Ukerewe.Naomba kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu aliyepo Wilaya yoyote ile mkoani Morogoro,Pwani...
nimechaguliwa bs in geoinformatics aridhi lakini ndoto zangu ilikuwa kusoma petroliamu..tatizo nikwamba nimepata diploma ya petroliam sasa na kwama nisaidien niende wapi na nikipi kitanilipa zaidi...
Mimi binafisi nimechaguliwa katika course ambayo niliifikiria hasa nikiwa form 4 na nikaamua kusoma CBG A-level ili niipate i.e BS in applied geology-udom, ni baada ya kuckia kuwa inalipa,but...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.