Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kila mwaka serikali ya Australia inatoa nafasi 380-400 kwa waafrika, na mgao wa TZ hutofautiana kila mwaka lakini ni 25-40chances katika baadhi ya sekta kwa viwango vya masters na PhD. Tangazo lao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Najaribu kuchekikwenye web Yao but siipati, tusaidiane kwa aliye pata
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Reporting day ni tarehe ngapi anayejua anijuze
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Kwa wale wa mwaka wa kwanza SAUT hebu tufahamiane kidogo tuelezane jinsi ya kwenda kuyaanza haya maisha ya kitabu upya haswa suala la malazi...... francis.goustone88@yahoo.com
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WAKUU HUSUSAN FORM6 WATAKAO CHAGULIWA KUJIUNGA NA LL,B MUCCoBS NAWAAMBIA HAPO NDO PENYEWE KUNA MAPROFESA WA LAW NA MADR. WAKUTOSHA
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Mliomba kilimo http://www.agriculture.go.tz/highlights/CANDIDATES%20%20SELECTED%20%20FOR%20ACADEMIC%20YEAR%20%202013-14.pdf Someni kwa nguvu kuinua kilimo chetu
0 Reactions
9 Replies
4K Views
kama mtu anayo anitumie hapa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
sasa jamani tuende chuo au tusubiri intake ya jkt october
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kutokana na uhaba wa hostel za chuo kuwa chache wewe uliechaguliwa saut na wewe unaendelea na mwaka mwingine wa masomo kuna hostel za watu binafsi ila kutokana na almanac yetu na reporting day kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sasa kujua kama umepata chuo ni rahisi kama abc hebu gonga hapa na uingize taarifa zako au za yule unayemfahamu Home
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakuu naomba yeyote mwenye taarifa ya undergraduates wa must lini wanatakiwa kuripot pamoja na join anijuze
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna kitabu /manual inahusu procurement and supply chain management kimeandikwa na mwalimu mashuhuri dodoma..kinaitwa SUPPLY CHAIN MANAGEMENT kimeandikwa na saul aswile nimekisoma hicho kitabu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tumechaguliwa watano tu! Waliotutangulia wapo saba je? Unafikiri ni fursa pekee yakutufanya tubobee katika masuala hayo pamoja na upatikanaji wa ajira?
0 Reactions
20 Replies
5K Views
wakuu msaada lini wanaripoti TIA?na joining instruction zmetoka?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
mipango dom ni lini jameni na hizo join zao zinapatikanaje,maswahiba
0 Reactions
1 Replies
919 Views
Mm naomba nisaidiwe kujibu swali hili kwa wana history nahitaji. contribution of great economic depresion to word the rise of dictatordhip in the world.Nijibieni marafiki
0 Reactions
1 Replies
779 Views
There are these two major schools, the one that advocates for 'Queen English' as the model and that which is acceptable and should be used and the other army of those, like me, who are of the...
0 Reactions
0 Replies
883 Views
Search Historia ya JKT Operation zilizofa Uongozi wa Juu wa JKT Muundo wa JKT Dira na dhima ya JKT Majukumu ya JKT Maadili ya msingi ya JKT Makao makuu JKT...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
What is the scope for Master of Science in Information System (MSIS) and which country have the best results ?
0 Reactions
0 Replies
797 Views
Kwenu wanazuoni, Naomba mnijuze kwanza ubora wa MBA katika vyuo hivi viwili. Pili, MBA in CORPORATE MANAGEMENT inahusika na nini hasa? Na inatofauti gani na hizi MBA za UDSM. Asanteni kwa mchango...
0 Reactions
51 Replies
20K Views
Back
Top Bottom