Mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili udsm,natafuta first year wa kunibeba. Awe binti kwasababu nami ni binti. Semester ya kwanza nalipia ROOM yote mimi. Ni pm kwa aliye tayari.
Nimekua nikisoma sana comment zenu kiukweli zimenisaidia sana ktk kunifungua akili yangu. ahsanten na muendelee hivyo hivyo kutuelimisha cc vijana tilioko vijijini.
Kama umeomba chuo na hujui kama umechaguliwa wapi na program gani nipo tayari kukusaidia jibu, nitumie Form 4 index number. your first name and surname mwaka uliomaliza. pia kwa majibu ya haraka...
samahani nauliza vipi kuhusu chuo ch TIA kwenye elimu yake,,,hostel zipo na mazingira yake kwa ujumla,,, pia ningependa kufahamu na wengine waliopangwa hapa
Bwana Theophili Theonest nimesoma nae chuo kimoja ila madarasa tofuti, tumelala Hostel moja ila vyumba tofauti, Yeye alianza kusoma diploma ya Sheria Pale Mzumbe-Mbeya naona ndo amejiunga kwa sasa...
Jaman wakuu na wadau wa jukwaa letu teule. Naombeni kusaidiwa kwa Yeyote aliye na 'Joining Instruction' za Mwenge University (MWUCE) tusaidiane hapa mambo kadhaa.
baada ya kimya cha mda mrefu cha tcu hatimae wametoa majina ya wanafunzi wa mwaka wa kwanza kwa vyuo vyote.Kwa wale wa BAED UDOM karibuni sana.
kuhusu BAED
Wanafunz wa BAED...
Any student who is needy (that is
a person who has no financial
assistance from any other
sources to cover his/her
education costs). He/she must be
a Tanzanian by nationality and
should have...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.