Kutokana na kuchaguliwa Business communication & it (muccobs) ambayo ni ya mwisho kuichagua james malya anaomba msaada jinsi ya ku-appeal tcu au vigezo vinavyozingatiwa kubadilisha faculty vyuoni
niko mza nimechaguliwa st joseph university of agriculture, chuo kiko songea, BACHELOR OF TECHNOLOGY IN AGRICULTURE - vp facult iko fresh au nifanye mipango ya kubadili, tafadhali elders naomben...
N cku sasa zmepta tangu waliochaguliwa na vyuo vingine kuchekelea. Wachache 2nateseka hasa kuwaelewesha wazazi na walezi we2 @ mara na wao kutuhc kuwa 2lchemka pepa.
NB: Tumia jina lililoandikwa la kwanza kuelewa mpangilio wa majina mengine, ukielewa; tafuta jina lako kama lipo kwenye orodha.
TANZANIA COMMISSION FOR UNIVERSITIES
List of Multiple Allocation...
SUA washatoa majina kwa undergraduet wa 2013/2014 tatizo langu lipo hapa chuo kimechagua watu 48 katika program ya agricalture engeniarng na ilikuwa inaitaji watu 60 je naweza kwenda ofisi za tcu...
Wanafunzi walioomba vyuo vya afya tajwa hapo juu kwa tumechoka kusubiri!! Wakuu kuna mtu yeyote anaefahamu kinachoendelea kwenye vyuo hivi.....tufahamishane bandugu
Wanajamvi,
Kuna huyu mdau. Alihitimu Kidato cha Nne miaka kadhaa iliyopita. Matokeo yake yalikuwa mabovu kwa maana ya Credits 3, D chache na Fails kadhaa. Alijiendeleza na kuhitimu Certificate na...
WanaJF,Salam.
Nimeona nichukue nafasi hii tena kuwapongeza TCU na UDSM kwa uamuzi wao wa kutupilia mbali baadhi ya majina ya waliokuwa wanafunzi watarajiwa katika chuo kikuu cha DSM yaliyoletwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.