Habari zenu wana JF naomba kuuliza tofauti kati ya Bachelor of engineering in computer engineering ya DIT na Bachelor of science in computer engineering.
Nawasilisha.
Majina ya selection yametoka vyuoni mf. Jana ifm wamekuja with th first round watuwakitegemea second round ila uki angalia admision capacity unakuta kua sehemu zote zimejaa. .xo if u missed th 1st...
Wana jf kwangu binafsi naishukuru sana kampuni ya Airtel kwa kunifanya nikajua selection yangu mapema
maoni yangu ni kuwa hata kwenye mkopo wa HESLB Wafanye kama walivyofanya kwenye selection...
Naomba mtu yeyote mwenye kujua masomo ya BED IN PSYCHOLOGY baada ya chuo soko la ajira likoje anisaidie. Je serikali huwa inatoa ajira za moja kwa moja kama ilivyo kwa walimu waliosoma mf. BA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.