Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Udom...sua...mzumbe...ndo vyuo vinavyosubiriwa kwa ham xana right now hasa baada ya udsm kuachia admision zao xo kama vip na wao waachie mzigo
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Aisee,haya mambo sasa yamekuwa too much,hivi jaman kuna mtu yeyote aliyefanikiwa kufungua web ya tcu?alafu akaona information zake ziko vip?yaan program zake alizochagua,,,,maana mimi siku ya pili...
0 Reactions
189 Replies
19K Views
Kama kuna mtu anafahamu naomba anijuze haraka tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar zenu wanajamvi. Hiv nacte mbona wapo kimya, wanafunzi waliomba chuo kupitia nacte majina yao hayaonekan kwenye vyuo ambavyo vimetoa majina. Kama kuna mtu anafahau atutaarifu kuhusu hili mana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
6
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Liberia, wanafunzi wote wamefeli mtihani wao wa mwisho wa sekondari na hivyo kumaanisha kuwa hakuna hata mmoja ambaye atafuzu kuingia chuo kikuu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, Naona selections za vyuo mbalimbali na watu wanajiandaa, Open University wametoa selection chache tu za Batch One, naomba kama kuna mtu anajua lolote anijulishe nami lini watatoa zingine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua ada za OUT kwa undergraduates ni sh ngapi kwa mwaka?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Je! Inawezekana mtu akakosa chuo hata km tcu wame mselect? Yan aliaply 1st time akawa accepted. 2nd na 3rd round hakuwemo kwa walokosa. Nifafanulieni ndg zanguni,
0 Reactions
6 Replies
944 Views
Kwa waliochaguliwa; Joining instruction and admission letters watazpataje? coz nimepata chuo teku na mm npo tanga. :help: me plz
0 Reactions
6 Replies
1K Views
SAUT BUKOKA CENTRE MNAKAKIBISWA HAPA KWA SANA HONGERENI NA MUNGU AWAJALIE! Kama mnataka maelezo yoyote tafuta mimi
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kuanzia sasa wanajamvi tusitishe kuchangia mada yoyote atakayoitoa huyu kijana anaejiita oil sumu au majina mengine full again na sumu tamu Anaonyesha dhahili ufinyu wake wa akili na...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
nimepitia majina ya selected candidates ya UDSM ni kweli GS imefanya yake mwanzoni nilikua nabisha humu humu jukwaani but leo nimeamini...hongera kwa ambao mmepata nafasi pale nadhani zile GPA tu...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
jaman hebu 2jadir hv huyu wazir shams vuai nahodha cjui hayo majibu aliyotoa leo bungen cjui ameyaandaa na mkewe au? wkt vyuo hadi vimetoa tar ya kufungua vyuo mf AMUCTA tar 19,JORDAN tar 23, je...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
kwa ripoti niliyopata kutoka kwa profesa mmoja wa UDSM ni kuwa katika ranking za vyuo bora Afrika kwa kuwa nafasi ya tatu na siyo sita kwa South Africa kuwa mbele kwa nafasi mbili zaidi za juu,na...
3 Reactions
83 Replies
8K Views
hivi ni kweli kuwa hii BCS OF ELECTRICAL AND ELECTRONICS ENGINEERING NI NGUMU SANA!
0 Reactions
49 Replies
4K Views
da tungekuwa tunakutana jukwaan physical ingekuwa noma sana, watu wangekuwa wanaondoka na ngeu, wamezimia,wanalia... Mtu akiomba ushaur tumpe mawazo ya kumjenga na sio kumkatisha tamaa
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wana JF, Kuna nyepesi kwamba wanafunzi Watanzania wanosoma nchini Cuba Maisha ngumu kweli Kufuatia hali ya maisha kuwa juu sana ukulinganisha na pesa yao ya mkopo wanayotumiwa na HESLB! Waliomba...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
mimi ninatarajia kumaliza diploma ya IT MUCCOBS mwakani, nimefikiria na nimeshauriwa kubadili programme , wengi wanachuo wanaochuku degree ya IT wamenishauri kua degree ya IT ni ngumu na vilevile...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna Deo Mpya kaletwa hapo naomba muwe makini maana huyu ni Farao.Mzee ana roho mbaya sijawahi kuona.Kama unabisha utayaona.:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::):)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom