Jaman wakuu naomba mnijuze kuusu chuo cha makumila kipo Arusha kitaaluma , mazingira yake, na vp kuusu maisha yahapo chuo kwa ujumla tafadhalini naomba msaada
jamani mimi nina ndugu yangu wa kike alimaliza shule miaka ya nyuma ila si sana. alipomaliza alkuwa na bahati kweli maana alikuwa na div 4 ya 26 lakini kwa kuwa combination ilibalance basi alipata...
Notice to Applicants who have not been selected during the first round of application due to various reasons.
1. Overview
TCU informs all applicants (Form six and applicants with foreign...
hellow , mimi kuna kitu kina nitatiza sana maana kila siku kuna sababu zinatoka kuhusu hawa tcu, nahitaji jua nilini wanafunzi walio apply kujiunga na chuo watapata matokeo yao maana inakera ...
Wale wanaodharau wanaoenda kusoma education ajue ya kwamba hadi hatua aliyofika ni kwa juhudi za mwalimu..ujue kwamba ulizaliwa bila kujua chochote kuhusu elimu ..lakini mwalimu wako alikufunza...
haieleweki utaajiliwa wapi? course content ni zile zile za advance mfano utakutana na mechanics, magnetism,heat,wave then hakuna cha field walimu wachache practicals mpaka vifaa vitoke udsm na mta...
Jaman hiv serikali ina mpango gani na wanafunzi wenzetu ambao wapo jkt maana kuna watu majina yao yalikuwemo katika wale waliokosa first round lakini hawakutaarifiwa ili wafanye selection na...
Napenda kuchukua nafasi hii kuwa asa wale wote wenye mpango wa kutumia pesa zako katika kuomba mkopo kwenye hii taasisi sjui ya HLSSF Kwa kifupi hawa majamaaa nimatapeli watakulia 30000yako na...
Jeshi la polisi nchini limetoa orodha ya vijana wa kidato cha 4 wa mwaka 2012 na wale wa kidato cha 6 wa mwaka 2013 walioitwa kwenye usaili wa kujiunga na jeshi hilo. Vijana hao ni miongoni mwa...
Wadau nimetembelea tovut ya SUA nikakuta baadhi ya majina ya wanafunzi ya wanafunzi wanaotakiwa kuapply for 3rd round na wamepewa siku 11 na mwisho ni tar 31 mwezi huu. Sijui hili mmelipata!!?
Tanzania ukiwa na principle moja na subsidiary inatosha kuwa MWALIMU na ukifundishwa, psychology,measurement,foundation of education,Curriculum na methodology inatosha kutengeneza Taifa la kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.