Wanafunzi mpaka sasa wamepigwa na bumbuwazi kutokana na uvumi ulioenea kipindi kifupi cha nyuma juu ya mabadiliko haya. kwa Advanced level grade mpya zilipendekezwa kuwa; A(81-100), B(75-80)...
jamaa tujadilini kwa undani hii geoinformatics katika nyanja zote kama furusa na soko la ajira pamija na vp tukomae tusije poteza nafasi zakuendelea na masomo yetu..wadau wengine mnao fahamu...
Hivi majuzi serikali ilizindua mpango wa kuleta matokeo makubwa kwenye sekta mbalimbali, hapa kuna mengi ya kuzungumzwa hasa kwenye sekta ya elimu tuliofuatilia kilichoendelea kwenye ukumbi wa...
ni kwa mara ya kwanza, tafadhali naomba nisemee hili, simaanishi mara ya kwanza kuzungumziwa, la hasha, namaanisha mara ya kwanza mimi kulizungumzia, ni kuhusu nmuungano wa nchi za afrika na kuwa...
Utoaji wa maoni juu ya suala fulani uendana na utashi mtu husika,naomba sana kupitia jukwaa hili ambalo linategemewa na watu wengi kupata habari za uhakika kuhusu elimu tulitumie vizuri kwa...
habarini ndugu zangu wana wa jf, poleni na majukumu ya wiki nzima katika kujitahidi kulihudumia taifa hili lenye matatizo lukuki kushinda idadi ya wananchi. Swala lililonileta leo limetokana na...
Wana jf naomba tujadili hili suala kwa kina nimekuwa nikisikia kuwa vyuo vikuu vya private vinawanyanyasa sana wanafunzi wao kupata stahiki zao
hasahasa pesa zao walizokopeshwa na bodi ya mikopo...
JARIBUNI HIZO HAPO CHINI,ZAWEZA KUWA ZA MSAADA KWENU!
2014-2015 Oulu International Masters Scholarship in Finland
Nestle MBA Scholarships for Women Developing Countries 2013-2014-Switzerland...
Naomba kupata mawasiliano na St. John Dodoma au maelezo kama unajua wanatoa kozi ya certificate in Nursing 'Or' Certificate in Pharmaceutical na Qualification zake
The Tanzanian commission for universities tcu has submitted to respective learning institutions names of candidates for verification before they're released by the end of this month. Tcu spokes...
nimeomba vyuo kbdhaa vya serikali ikiwemo kilimo sasa wengine wameshatoa na reporting dates za karibia kasoro hawa kilimo,vipi wanajamvi kuna mwenye data zozote juu ya hili!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.