Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kichwa kinajieleza,nisaidieni wanajmv,kila nikitafuta na ukurasa mweupe tu tangu jana.nawasilisha
0 Reactions
2 Replies
4K Views
guys from ST JOSEPH ni update nimechaguliwa huku.:A S-key:
0 Reactions
27 Replies
13K Views
hivi ili usome barchelor za engineering lazima upitie PCM! NA KAMA PCM NDO ANASTAHILI NI FULCUT ZIPI ZITAMSUMBUA PCB? AU AKIKAZA MAMBO SAWIA.. NIPENI MTAZAMO WENU!
0 Reactions
49 Replies
7K Views
jamani naomba kujua kama TCU wameshatoa selection za vyuo vikuu. Asante.
0 Reactions
32 Replies
10K Views
Ipi ni masters nzuri baada ya kumaliza BSc.Education(Bachelor of science with education),either M.Sc(Mathematics),M.Sc(Management) au kama kuna nyingine yoyote unayoifahamu,please naomba...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wale wanaodharau wanaoenda kusoma education ajue ya kwamba hadi hatua aliyofika ni kwa juhudi za mwalimu..ujue kwamba ulizaliwa bila kujua chochote kuhusu elimu ..lakini mwalimu wako alikufunza...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Kila siku tunashuhudia thread zinazohusu Tcu na Heslb kwa wingi...haya tu-enjoy kivingine kwa kutunga sentensi ya kiingereza kwa kutumia haya maneno.."Simply because..............it doesn't...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Nmepata taarifa kuw air tell yatosha imetema tena madude leo. taarifa hii nimeipata kwa mdogo wangu aliyek jkt kwamba kuna wenzake wameangalia post leo hii. nilipojarib cod uyao ya *150*44#...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wale watakaochaguliwa kujiunga saut main campus katika degree ya EDUCATION,LAWS[LL.B],SOCIOLOGY,BUSINESS ADMINSTRATION"hakikisha unasoma list watakaoitoa wao kama chuo na sio ile ya TCU kwani...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Deadline ya HESLB imeshapita ( 25/08).TCU ya kwao 29/08 je hawa watapata mkopo au HESLB itasogeza?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
nauliza kama kuna mtu ana taarifa yeyote kwa wale wanafunzi wanaotakiwa kwenda awamu ya tatu jkt
0 Reactions
120 Replies
14K Views
Ngoja tuangalie hawa wanafunzi X na Y waliokua wanasoma shule Z. X, hakuchaguliwa kujiunga na shule ya sekondari 2002 baada ya kumaliza la saba 2001(alienda MAKOKO SEMINARY MUSOMA) Y...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwa wale waoijua vizuri udsm political science&public administration (PSPA), public administration au public relations &advertising, Ipi program nzuri ya kusoma na kwanini.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tumaini University Makumira watoa majina ya Applicants waliokuwa admitted hapo 2013/2014 leo hii!!
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Maka sasa wengi walioomba nafasi za kusoma katika vyuo vya AFYA bado wapo kwenye wakati mgumu hasa pale wanaposikia kuwa kuna ushindani balaa. je,ni lini Wizara ya AFYA itaziwasilisha post hizo...
0 Reactions
72 Replies
8K Views
Poleni kwa majukum, naomba msaada wa mawazo yenu, mdogowangu aliomba chuo cha afya zanzibar na kwa bahat nzur kachaguliwa diploma in nursing, anatakiwa kuripor tar 9 mwez ujao. Kitu...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Natafuta mwl wa kubadilishana nae kituo cha kazi idara ya msingi toka mkoa wa arusha,kilimanjaro au morogoro yeye aje Bunda mkoa wa Mara.kwa mawasiliano zaid 0787181565
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wakuu naomba ushauri kwa yeyote anayeifahamu vizuri course hiyo
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Naomba maelezo au ufafanuzi kwa anayefahamu kuhusu zile schoolorship zilizotolewa kwa niaba ya serikali ya mozambique, kama ukichaguliwa utaratibu wake unakuwaje? Msaada kwa yeyote anayefahamu please!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom