Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kama baridi ya leo ni nyuzijoto sifuri na tunatarajia kesho kutakuwa na baridi mara mbili ya hii ya leo, je baridi ya kesho itakuwa nyuzijoto ngapi?
0 Reactions
73 Replies
16K Views
Jordan University College - List of students selected by CAS TCU in the 1st 2nd round First NameSurnameSex Index No /Year Degree Program ABDALLAHMKOKOIMS0324/0083/2010Bachelor of Arts with...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
jaman et kuna utofaut gan ya kati ya hz koz :bachelor of science with education na bachelor of education in science.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 12 Agosti 2013, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi walitoa tangazo la nafasi za mafunzo maalumu ya ualimu tarajali ngazi ya stashahada(diploma) katika masomo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
baada ya kiu ya muda mrefu ya wanafunz waliomba UDSM mwak wa masom 2013-2014 kubaki na bumbwazi huku vilio vikitanda kwa kile kilichosemekana kua idadi kubwa ya waombaji kutolewa nje kwa kukosa...
0 Reactions
40 Replies
17K Views
kwa mwenye ufahamu na hii utofaut kat ya koz ya Bsc of education in science na Bsc of science with education.
0 Reactions
3 Replies
940 Views
Habari zenu ndugu wadau wa JF? Kwa wale mliochaguliwa MUCE nawapongeza sana. Ila kuna kozi matata sana inaitwa HISTORY yaan ukijichanganya kuisoma kozi hii ujue hakuna muda wa kulala. Kiukweli...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jamani chuo cha Josia kibira Bukoba centre ni tawi la chuo gani? na mashariti ya pale ki malipo..! mwenye uelewa bac!
0 Reactions
35 Replies
4K Views
et wandugu tcu inapokea maombi mapya ya mtu ambaye hajawah kabisa kuapply.
0 Reactions
2 Replies
889 Views
msaada:kwa mwenye ufahamu wa koz hii BSC OF EDUCATION IN SCIENCE ina utofaut gan na barchelor of science with education coz nimechaguliwa coz hiyo juu UDOM.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimepangiwa course programe hiyo,naomba kujuzwa kwa yeyote mwenye ufahamu,je?naweza kuchukua Chemistry/Mathematics combination,pia naomba kujuzwa ukisoma masters unaweza ukasoma kitu tofauti na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Bsc. Aquaculture(SUA) ina changamoto zipi kiujumla(mhusika+mazingira+ mengine zaidi) pia nchini Tz imepewa kipaumbele kipi? Usilete utani kuwa makini na usemacho.
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Kwa miaka mingi sana chombo hiki kimekua msaada kwa mustakabali wa elimu nchini lakini matatizo mengi yametokana na siasa, wakuu wa shule wameachiwa mzigo wa kuendesha shule..... Ntarudi kikao ndo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hata chuo nlichochaguliwa ni chuo ndo maana TCU wakakitabua,Kuna product nzur znatoka kwy hv chuo mnavyoviita vya kata.So tuheshimiane jaman!
0 Reactions
61 Replies
5K Views
  • Closed
Maryam hassan rashidy..
0 Reactions
109 Replies
8K Views
jamani wele waliochaguliwa na tcu kutupwa mount meru tujenge kampan kabisa! nasikia chuo kinafunguliwa 2 ock! if kunanshu nyingine uifahamyo kuhusu hichi chuo tujulishane.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
baadhi ya vyuo vimetoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo husika. nimeona vyuo kama CBE na MOUNT MERU" vipi kuhusu LOAN BOARD?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
DR JOYCE NDALICHAKO ATEULIWA KUWA RAIS WA UMOJA WA MABARAZA YA MITIHANI AFRIKA Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Tanzania ( Necta), Dk Joyce Ndalichako, ameteuliwa kuwa Rais wa Umoja wa...
5 Reactions
36 Replies
9K Views
hivi unakumbuka for the 1st time unakamata usukani ilikuwaje?mimi ni ya kuingia barabarani after kukata corner nasahau kuswith off indicator naenda nayooo hadi niikumbuke loh mwanzo mgumu
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama kuna mtu hana net au matatizo ya mtandao na yupo mbali na anataka kuapply basi nitumie msg account details zako yaani namba ya mtihani na password na code namba ya course unayotaka au jina la...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom