Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Niaje watu wangu wa nguvu kutikamuce? ebwana tunawakaribisha first year wote mliochaguliwa MUCE. Kiukweli MUCE akuna kuuza sura ni kiytabu kwa kwenda mbele. kwa wale wauza sura imekulu kwao.
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Heshima mbele, jamani nataka kusoma diploma in IT pale DIT lkn mzazi wangu hana pesa za ada za kulipa hapo chuon so ningeomba kujulshwa jinsi gani naweza pata udhamin kutoka serikalin ili niweze...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba mtu mwenye application form ya diploma ya UDOM anisaidie....
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Chuo kikuu cha Udom kimeongeza muda wakutuma maombi ya kozi mbalimbali katika chuo hicho!!! kwa maelezo zaidi waweza kutembelea tovuti yao udom.ac.tz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MISSION To offer relevant and cost effective premium secondary education that equips the student with knowledge, skills and morals that are required to effectively participate in the...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nina ndugu yangu yupo kijijini, ni muhitimu wa kidato cha sita ameniomba nimwangalizie profile yake ya tcu...chaajabu nimekuta wame muekea kozi mpya zote tofauti na alizo ziomba, mfano udsm...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
kama upo chuo hiki pls tuwasiliane
0 Reactions
58 Replies
5K Views
ati kati ya procurement officer na accountant ni yupi bora na ni ipi course rahisi kuisoma, ipi rahasi kupata kazi na mishahara yake ikoje. Naombeni msaada wenu haraka iwezekanavyo.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Jaman kwa wale waliochaguliwa st johns ya dar kama unajambo unalotaka kulijua au kuelekezwa au kujadiliana contact me kwa namba zifuatazo . 0654370515 / 0682836319. Mambo kama course kwa ujumla...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
Msaada vip telecommunication inalipa kwenye ajira
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba ku uliza kuwa elimu inayopatikana DIT ni bora pia kusoma A level au kuingia DIT yup mwenye faida zaid ya kuwa na ujuz mkubwa
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wa DIT siwaoni mpo
0 Reactions
11 Replies
1K Views
jaman nimesikia ukisoma baed unapoenda chuo unachaguliwa masomo ya kusoma? Je kama huyataki inakuaje? Msaada plz
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Natafuta company ya wadau kadhaa tushirikiane kuanzisha mradi wa kusahau biashara za TCU humu jf mpaka 3rd round ipite na official anouncement ifike.Nimeona kujiajili sio mpaka niwe na digirii au...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wajamen plz nisaidieni.eti unaweza kuhama chuo na faculty?eg kutoka Teku (baEd) kwnda Makumira (law)
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Since i'm new hapa jf,nimepita kuwasalimia tu.
2 Reactions
43 Replies
3K Views
wadau kama hukuomba mkopo kwa sasa unaweza kutumia njia gani kupata mkopo??? n.b achana na zile za kwenda msasani kutoa $$$$$
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hapa TEKU kuna "mchwa" wanaotafuna pesa kila semester punde tu zitokapo HESLB.Boom tunalopata ni faida kutokana na pesa zetu.wafanyabiashara wakubwa wapo hapahapa chuoni,mzigo ukitua kutoka bodi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Dear JF Member, I'm in need of the Book titled"48 Laws Of Power" By Robert Greene. I'll be ready to share the cost of purchase if the owner is available in Tanzania. I'm advancing my appreciation...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Tanzania ni nchi mojawapo iliyobarikiwa kwa kutoa kauli mbiu zenye mvuto. Utasikia ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Mara kasi zaidi,ari zaidi na nguvu zaidi. Mara maisha bora kwa kila mtanzania...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom