Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Kuna mdogo wangu kapokea sms leo jioni toka Archbishop Mihayo university college(AMUCTA) ikimtaka aende kuripoti tarehe 16-9. My take, wataripoti bila kuwa na uhakika na boom.
0 Reactions
48 Replies
7K Views
Kwa yeyote mwenye taarifa mpya kuhusu post za tcu tujuzane.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wale wa IFM,naomba tupeane basi maelekezo. Kwa manake mambo mageni kweli kwangu.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani jamani kwa wale mliopata chuoo mmepangiwa selection ya ngap mliocahagua?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna ndugu yangu kachaguliwa kujiunga na hiki chuo, mwenye taharifa watafungua lini anisaidie ili tujue jinsi ya kujipanga. natanguliza shukurani.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
WADAU wa SUA VP TOKEO LINI ??
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wote waliochaguliwa vyuo vikuu na waliomaliza na wako makazini!je unasoma kozi ya ndoto yako au unafanya kazi ya ndoto yako mi binafsi nimebahatika kuchaguliwa kozi ya ndoto yangu MD
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Mbunge wa Kuteuliwa (NCCR-Mageuzi), James Mbatia. Wakati Wizara ya Elimu ikikwepa juu ya kuboronga kwa mitihani ya majaribio ulioibuliwa na mbunge wa Kuteuliwa (NCCR-Mageuzi), James Mbatia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuomba chuo shida kusubiri selection ndo usiseme pressure yan kwel haya majanga .....:disapointed:
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Jamani vipi mbona sioni mkizungumzia hiki chuo? - Ubora wa Elimu itolewayo? - Kozi zinazotolewa ni zipi? - Wakufunzi wake wakoje? - Mazingira ya kusomea kwa mwanafunzi vipi?
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Mitihani ya Suplementary itaanza 16th September, 2013. Chuo kitafunguliwa 21st October, 2013. Source: Waziri wa Elimu, DARUSO
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hivi katika akili ya kawaida,airtell wanaweza kuchukua information tcu bila kulusiwa na tcu?ni jambo gumu sanaaaaaaaaaaa.lakin Tanzania maswala kama haya yamezoeleka sana,aya bwana,ukiwa kwenye...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nashawishika kuamini kuna watu ni mahackers wa kiwango cha hali ya juu.Mbwiga88 kadhihirisha hilo.Tanzania nzima sasa hivi wanajua habari ya TCU,Tanzania nzima sasa hivi wanajua huduma hii...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina rafiki zangu wapo kijijini sana wanaomba msaada wa kujua vyuo walivyopangwa. 1.CLARENCE MOYO 2.MANENO LUTAMBI 3.DAISON MPANGWA.
0 Reactions
2 Replies
986 Views
Kuna mdogo wangu kapangwa bachelor of science in medical laboratory technology! Sasa ningependa kujua soko lake kiajira likoje? Na pia hii kozi ina connection yeyote na mambo ya udaktari?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Jamani kama ilivyosomeka hapo juu, naombeni ufafanuzi wenu.
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Nimefanikiwa kulogin tatizo linakuwa kama ifuatavyo, na naomba msaada hapa. 1. hatua ya kwanza .....login 2. hatua ya pili.......select ni pale kwenye ku-select namba mbili yenye 'My...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Habari, kama wewe ulifanya second application kwa wale ambao walikosea application zao. Ukitaka kujua course uliyochaguliwa na chuo ingia kwenye profile yako, bofya kwenye view my selection...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Majina yanatoka lini wakuu
0 Reactions
3 Replies
2K Views
bofya hapa http://www.udsm.ac.tz/sites/default/files/announcement/Almanac%20New%20Academic%20Year%2013-140001.pdf
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Back
Top Bottom