Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nashindwa kucheki selection yangu via simu naomba msaada wa hatua za kufuata, tafadhalini
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanajamvi nisaidiani nina ndugu zangu waliomba vyuo lakin tunashindwa kuona hizo selection tcu wala kwny web za vyuo walivyoomba. MSAADA KWA HILI WAJAMENI
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jaman sie tulio omba kwa diploma mbona account zetu hazfunguki,jbu ni apache error
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Its Normal kukuta choice ya my admission imetolewa, hata mwaka wetu walifanya hivyo ila sisi walituwekea kwenye website mida ya usiku afu wakayatoa wakarudisha kesho yake mida ya saa sita...
6 Reactions
50 Replies
7K Views
hivi ni kwli waliokua form 5 wa mwaka huu watafanya necta 2016?
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Samahanini wadau naomba kujua km kuna mweny tetesi kuhusu matokeo kidato cha sita 2013 anifahamishe ni lin yatatangazwa?
1 Reactions
29 Replies
15K Views
Hbari zenu wana jamvi wenzangu kwanza naomba nianze kwa kuwapongeza kuchaguliwa kufika elimu ya juu hakika huu ndio mlango unaotazamwa na kila mtu kama mlango wa neema hongereni kwenu Sasa kwa...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
ELIMU YA SHULE ZA KATA NA MATOKEO YAKE Kati ya mambo ambayo watanzania wanayaenzi katika kipindi cha utawala wa waziri Mkuu mstaafu aliyeachia kiti kwa kujiuzuru baada ya kutokea dosari ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna mdogo wangu anataka kufanya kazi ya kuuza duka la dawa (famasia) sasa ameambiwa hadi asome nursing attendant then akachukue short kozi ya TFDA sasa tatizo cheti chake cha kidato cha Nne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani ndugu zangu vp kuhusu Nacte kutoa selection za vyuo
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari? Nimechaguliwa Bachelor of Arts with Education, ninaomba aliyetayari kwa ajili ya kushirikiana kutafuta sehemu ya kupanga anijulishe tuanze mchakato mapema. Awe mtu mwenye hofu na Mungu na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
MABADILIKO MAPYA NI WATAKAOFANIKIWA KUANZIA TAR 5-11 OCTOBER. #walaka_kila_chuo_cha_afya .
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Maombi second selection wizara ya afya ni lini?
0 Reactions
19 Replies
3K Views
baadh ya wanafunzi waliweza kuangalia post za vyuo kupitia lain za cm ya mkonon AIRTEL kwa muda wa masaa kadhaa tar 17 augost 2013 kwa kubofya *150*44# na kufuata maelekezo wakat tcu wao bd...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Closed
JF,TCU Majanga
0 Reactions
8 Replies
2K Views
daa!!kiukweli sijawah kufika mtwara kwa wale wanaoyajua maisha ya mtwara watujuze basi maisha ya uko yakoje...bei ya vyumba vya kupanga,chakula na hata mirupo kwa wale watumiaji...!!
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Habarini wanajamvi...kaka & dada zetu mliotutangulia kunako elimu ya juu sisi wadogo zenu tunaoingia vyuoni kwa mara ya kwanza tungependa kujua uhalisia wa maisha ya chuo...we know there are lots...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Umechaguliwa kwenye tawi la chuo unaweza kuhama kwanda main campus mfano muce kwenda udsm, amucta kwenda saut naomba mnijuze.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari, wana jf nilikuwa naomba msaada wa mawazo kuhusu kozi hizi hapa nataka ku APPLY kwa mujibu wa soko la AJIRA je nijaze kozi ipi ambayo itaendana na hali halisi 1.Diploma in Mineral...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Aisee hawa jamaa wamekua mstar wa mbele kutupa info na ahadi tamtam juu ya selection na mmoja wao ameahidi kuangusha mizigo ya vyuo maarufu humu jamvin...lakin cha kushangaza wamekua kinyaaaa....!!!
1 Reactions
2 Replies
789 Views
Back
Top Bottom