Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Habari wana JF, kwa wale ndugu zangu wa mwaka wa Kwanza mliochaguliwa katika chuo kikuu cha Dodoma hasa kitivo cha sayansi za jamii na Lugha au College of Humanities and Social Science. Kuna mambo...
3 Reactions
40 Replies
8K Views
Jamani salam natanguliza, Naomba mtu yeyote yule anichekie sellection yangu username"s1656/0078/2010" password" MOTAMBURU" Ahsanteni!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kazi yenyewe ni kusubiria selection za vyuo.Muliokwishaziona endeleeni tu kula bata
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwanza nawapongeza sana kwa kuchaguliwa chuo hiki ambacho kinafanya vizuri ktk utoaji wa Shahada na Shahada ya Uzamili ktk Elimu Maalum. KARIBUNI SANAAAA!
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Selection bado tu hadi lini? kwa yeyote anayejua anitaarifu.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Natumaini great thinkers wote ni wazima... Nimeguswa sana na jambo kubwa ambalo serikali yetu inajitahidi kuinua elimu yetu ambayo inaonekana kudidimia. Wanaita BIG RESULT NOW. wana mpango...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana jamvi, Kumekuwa na mtazamo hasi na dhaifu wa utendaji wa Dr. Ndalichako na Baraza la Mtihani Tanzania NECTA hasa kutoka kwa watu wanaojiita WACHAMBUZI na wengine hujiita Wasomi. Wengi wao...
8 Reactions
44 Replies
6K Views
ndugu naomba kujua kama kuna ukwel wowote kuhusiana na taarifa kuwa bodi zenye makosa zmerudshwa posta. Anayefahamu kuhusu hli anijuze
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ukiona majirani, ndugu na jamaa wanakuchukia simply kwasababu umesoma jua umewazid kitu. Kabla ya kuanza kwa Udom 2007 hapakua na malumbano ya vyuo, umewah kujiuliza ni kwanini? Kwasababu vyuo...
0 Reactions
98 Replies
13K Views
INSTITUTE OF COMMERCIAL MANAGEMENT Chuo cha ICM –UK kwa kushirikiana na COMMERCIAL COLLEGE OF ARUSHA wanatoa KOZI za ngazi ya Cheti- Arusha, Tanzania kwa kozi zifuatazo:- &#61558...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
kwa yyt mwenye aliyepangiwa udsm shulekuu ya biashara ambae ana jambo linalo mtatiza b free kuuliza ili tusaidiane kupeana maelezo.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapi pagumu zaidi wadau tupia maoni yako katika comment !!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
WanaJF,someni haya wapeni wote ;NATUREOF ACCOUNTINGSINGLEENTRY BOOKKEEPINGDOUBLEENTRY BOOKKEEPINGTHEACCOUNTING EQUATIONDEBITSAND CREDITSTHEACCOUNTING CYCLEPREPARATIONOF THE BALANCE SHEET
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naombeni jamani kwa mlioko vyuo, au wale ambao tunataka kwenda vyuoni, hivi 'result slips' za form six ni muhimu kuripoti nazo vyuoni?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
jamani so lini post za chuo zinatoka?
0 Reactions
0 Replies
980 Views
Naomba mnijuze kuhusu hilo ?? :wave:
0 Reactions
16 Replies
3K Views
naomben mnijuze kuhusu ajira na kama course hii inalipa hapa tz na ajira zake zinapatkana maeneo kama yap na kuzpata ndo ile unahaso kitaa miaka au fasta tu ukimalza chuo kwa anae jua lakn plz
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Napenda kumshauri Dr. Ndalichako wa NECTA agombee uraisi kupitia chama atakachopenda yeye 2015 maana kwa muda mfupi aliokaa NECTA ameondoa mtandao wa wauza mitihani na kuwashikisha adabu wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Jamni naombeni msaada kuna majina yaliotoka loanboard kuwa hayajawekwa viambatanishi jina langu nipo wameniandikia cheti cha kuzaliwa wakati nilikua affidavity jamani affidavity is inatumika...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Tunashukuru TCU imewachagua first year 1200,ni kwamba chuo hiki kishiriki cha udsm bado hosteli hazitoshi,majengo kipindi nasoma Advancehapa 2005 ni yale yale hakuna nyongeza,cha kawaida watu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom