Ndugu zangu Watanzania mimi ni mmoja wa wanataaluma wa uchumi. Kuna kitu kimoja nchini kwetu naona hakipo sawa kabisa kuliko vingine kwenye uchumi wetu.
SUALA LA KUA NA CURRENCY MBILI...
Nasikia kwenye elimu kuna wimbo mpya umeanzishwa. Ajabu ya wimbo huu ni kuwa waimbao huimba maneno yao, wasikiao husikia ya kwao na wachezao hucheza mdundo wao. wanasiasa na watendaji serikalini...
Jordan University College Morogoro wametoa majina ya waliochaguliwa na tcu kujiunga na
shahada mbalimbali. Link http//morogoro.sds.org/TCU%students%20selection%202013%20aug.pdf Nawasilisha
Nimepata chuo mount meru university kwa ajili ya kusoma dip in education kitu kinachonichanganya ni kuwa vyuo vinavyotoa hii dip huratibiwa na NECTA na mitihan yao hutolewa na necta iweje mount...
Habar zenu?Naomba kujuzwa na wale ambao walifanya mitihan ya kdato cha 6 kama Private Candidate(PC)2012 na wanatarajia kuingia vyuon mwaka huu,Je! Kuna ambaye amepatiwa mkopo na HELSB?Mana kuna...
Published on 20 Aug 2013 President Jakaya Mrisho Kikwete grants University Charters to eight university colleges at the State House in Dar es salaam August 20, 2013 Source...
Inasemekana kuwa mwaka huu 2013/2014 hakuna udahili kupitia vyuoni, wakati baadhi ya vyuo vimeshaweka aplication form, je inakuwaje hapo? naomba msaada wenu tafadhali.
WANA JF HIVI SHULE NGUMU NI IPI NI ILE YENYE AVERAGE YA 50% KAMA SUA, MUCCoBS,MUHAS NA SAUT, AU NI ILE YENYE AVERAGE40%, KAMA Udsm,ardhi,na ifm , tujadili wana jf
Ikiwa ulifanikiwa kujua umechaguliwa wapi kupitia Airtel unaweza kwenda chuo husika kwa ajili ya kuchukua admission letter, joinning instructions na mambo mengine kwani tayari majina yameishatumwa...
Brief description:
The Heinrich Böll Foundation awards scholarships to worldwide college students who gained their university entrance qualification from a faculty outside of Germany who wish to...
Huyu dogo amekuwa anadharau vyuo vya wengine na kujisifia amechaguliwa udsm(muce) BAED, anashindwa kujua kuwa anatakapomaliza chuo ataajiriwa na serikali na watalipwa mishahara sawa na waliosoma...
The Commonwealth Scholarships are for students from developing Commonwealth countries for Masters (one-year), PhD, and split-site PhD study in the UK. These scholarships are funded by the UK...
Nime log in tcu nimefungua profile yangu, nimefungua selection status nimekuta program5 zote zipo procesed 4 zimekua remak YES and the rest one is NO, sijajua ayo ndio matokeo yangu au VP,na kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.