SECRECT: watakaoapply second round wanatakiwa kujaza only one courses na kozi zenye nafasi zimetolewa katika akaunti yako. Hivyo cha kufanya ni kuwahi kuapply ili usikute wenzako wamejaza, nafasi...
Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa...
Wanafunzi 137 waliodisco mwaka huu ni karibu asilimia 10% ,kati ya watu karibu 1500 .Hii inaonekana kuwa idadi ndogo kuliko iliyokua ikishuhudiwa hapo nyuma.Maengineer wengi hudosco kila mwaka...
Wakuu naombeni msaada kwa anaefahamu ipi ni faculty nzuri kati ya bacherol of medicine na Medical lab.sciences interm of income na competition ya ajira.
Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa nahitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa...
kwa wale ambao wanahitaji kufanya maombi ya vyuo kwa level ya degree na walichelewa kufanya hivyo sasa mtafanya kuanzia tarehe 29 july hadi 9 august 2013.
TCU kama imeamua kutoa majina ya wanafunzi ambao hawajachaguliwa na waaplly mara ya pili basi kwawalio chaguliwa watoe eglibility watu wafaham ni wapi wamechaguliwa.
habari wanaJF,
Naomba kujua utaratibu wa mwalimu wa kike kahama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine kumfuata mme wake, maana kuna mtu ametuma maombi ya kuhama ila kaambiwa na afisa elimu wake...
habar zenu Wanajamvi...
Nmepitia TCU Website thru my phone nmekuta majina ya waliokosa first selection yametoka.
Kwa bahat mbaya mwenzenu na wengineo cm zetu hazina uwezo wa kufungua PDF na tuko...
Katika hali ya kufurahisha na kuchekesha pia wanafunzi watoro wafuatwa kwa bodaboda ya mwalimu mmoja baada ya mwingine na kucharazwa viboko walipofikishwa shuleni
hawa ndio aina ya waalimu...
Sikuamini pale nilipoona kwenye account yangu ya Face Book mtuamenitumia link ya Math Video Tuition; nilipofungua nilishangaa kumbe wakati serikaliinalalamika na kuunda kamati kutatua tatizo la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.