jamaani ndugu zangu nimejaribu kufanya uchunguzi wa majina ya waliochaguliwa vyuo vya diploma ya clinical medicine mwaka jana kama vile kibaha,mafinga,mtwara,lindi,kilosa,nikagundua majina huwa...
wadau kuna dogo(msichana)ana ndoto za kuwa daktari na matokeo yake sio mazuri sana kwani amepata Phy-F, Chem-E, Bioz- D, Gs-F na Bam-F. Je kwa matokeo hayo anaweza pata course ya udaktari hata kwa...
Dada yangu amechaguliwa kujiunga kidato cha tano ifakara high school sasa anaomba msaada wa joining instruction form nitumimie kupitia
Kadogerkadox@gmail.com
Kwa yeyote anayejua chuo cha kilimo na mifugo haijalishi ni cha serikal au binafsi naomba atupie hapa full detail za chuo hicho il niweze kufanya application nasubir msaada wenu
Hivi wakuu kuna kauli moja imetolewa kwa walimu kuhusu big results walimu wanatakiwa kufahulisha wanafunzi katika kiwango cha asilimia 60 % kwa fomu 2 na four 4 kutokana na kupandishiwa mshahara...
jamani,mimi nimetuma maombi wizara ya afya mwaka huu nina division two ya 18,nina B ya chemistry,D ya biology,C ya physics,pia masomo ya advantage mathematics nina B,english nina D,NIMEOMBA KUSOMA...
kwa mtu anayefahamu si mbaya kunielekeza process zote zinazotakiwa kufuatwa kwa kupata scholarship nje ya nchi level ya masters..
naamini majibu yatajibu maswali haya;
aina za scholaship...
Habari wadau,leo wakat napitiapitia gazet la mwaanchi nimekutana na tangazo lililopo Ukurasa wa 17 ambalo linasema 'BADILIKO LA JINA LA CHUO KIKUU CHA TUMAINI'.
Halmashauri kuu ya kanisa la...
Wapendwa waalimu wa secondary shule za Morogoro Municipal...nina shinda very critical. Naomba kama upo tayari kunisaidia tuwasiliane kwa simu, nibeep tu...0787 062208...It's very crucial.
Causes of mass failure in secondary schoolnational examination
In the recent years our country isexperiencing mass failure in secondary schools. Scholars, education stakeholders and community at...
Causes of mass failure in secondary schoolnational examination
In the recent years our country isexperiencing mass failure in secondary schools. Scholars, education stakeholders and community at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.