Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Naomba kujuzwa jamani hivi selection zitatoka mwezi wa ngapi?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwa waliopata admissions za hizo post ada imepanda zaidi ya nusu ya iliyokuwepo kwa sasa post graduate ni 4400000 kwa mwaka na masters ni 8000000! Kaazi kweli!
0 Reactions
41 Replies
18K Views
Jamani kwa yeyote mwenye form ya kujiunga na ndanda high school naomba anitumie haraka sana kupipia email yangu Kadogerkadox@gmail.com
0 Reactions
2 Replies
2K Views
wadau habari zenu! hivi kwa wale walioapply T.I.A. majibu yao yameshatoka? tujulishane wana JF
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafta kitabu kizuri cha PRACTICAL GEOGRAPHY ni kitabu gani kizuri cha kununua.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Hivi matokeo ya Waalimu Diploma na cheti yanatoka lini wana JF
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MI ni mwana pcm wa karatu mwaka huu naomba kwa alie na joining instruction ya karatu tuwasiliane 0759640639 plz kwa alienayo tusaidiane tutakutana shule
0 Reactions
4 Replies
4K Views
chuo cha ifm ndugu zangu kinasheria usipofanya mtiani mmoja unakuwa ume disco hili ni kweli?sababu mdogo wangu kamaliza certificate ya accounts mwaka huu ila kutokana na matatizo ya kifedha kwao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ukimaliza UDSM certificate course na ukapata A 4 unaingia Bachelor moja kwa moja ni kwel hii bado ipo ?? Kwasababu niliskia TCU walifuta hiyo system.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali imeendelea kuwasisitizia wazazi na wanafunzi shuleni kuwa wanafunzi wote 136,000 waliofeli kidato cha pili mwaka jana na kutakiwa kurudia darasa hilo wanapaswa kufanya hivyo bila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini za kwenu wandugu, jana nmetoka huko kuona hiyo shule ukizingatia n mpya so nlienda kuiangalia ipo vipi jaman kama umechaguliwa huko usithubutu kuhama au kuacha kwenda in short shule...
0 Reactions
16 Replies
8K Views
Mukae tayari next week mambo hadharani..... habari kutoka jikoni....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
mtoto wa jiran yangu ansoma kidato cha nne katika shule moja ya private, mwezi uliopita amefukuzwa shule kwa kosa la kutoka nje ya shule usiku na kuiba nyanya shamba la jirani. shule inamkatalia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tafadhali wakuu naomba mwenye namba ya simu ya headmaster wa dareda sec,nina dogo langu limesubir form haijafika na reporting date ya skuli ni tar 29 of this month.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mwalimu yeyote ambaye yupo Dar es salaam na anaweza kufundisha masomo ya economics na commarce naomba anipm contacts zake
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wana jf najua humu kuna watu waliosoma pcm na wanaoifahamu pcm mnaweza kunisaidia kunishauri jinsi ya kuimudu hii combination
0 Reactions
28 Replies
7K Views
naombeni msaada kitabu gani ni kizuri kwa biology advance
0 Reactions
2 Replies
6K Views
et wadau naomba 2 muongee ukweli juu ya hili swala et kat ya agronomy horticulture and agr.general ip ni best kuliko mwenzake na ni ip iko poa kwa ishu ya kupata ajira maana kuna, naomba majbu ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
jamani wana jf mimi mpaka sasa sijapata joining instruction ya shule ninayoenda(songea boys) naombeni mwenye joining instruction yake anisaidie au mwenye link ya joining instruction ya hii shule...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
There has been a marked rise of very good secondary schools all over the continent. Whilst government schools within African countries started off the best, following independence, much has...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Back
Top Bottom