Vyombo vingi vya habari vilitangaza juu ya shindano la uchoraji kwa taasisi za kielimu. Shindano hilo liliandaliwa na IMAGE PROFESSION ikishirikiana na IMAGE PROFESSION. Mada kuu ilikuwa ni ART...
Elimu bora Tanganyika itatokana na mambo yafuatayo;
Mishahara bora kwa walimu
Wanafunzi kuwajibika kutetea haki zao za kupata elimu.
Walimu kujisimamia kudai haki yao
Mazingira bora ya...
habar za kutwa wadau. Tafadhal naomba mnielekeze namna ya kupata scholarship kwa ajili ya kusoma masters katika chuo cha hapa nchini. yaani nimepata admission mzumbe ila uwezo wa kifedha sina, je...
Naandika habari hii ili kuwasaidia hata wadogo zetu na ndugu zetu wajue uozo uliopo Tumaini University Dar es salaam,ni chuo ambacho kwanza mazingira yake hayafai kuitwa chuo kikuu, mtu ajaribu...
Kuna dogo amepangwa huko na wanafungua Juma 3, ila mpaka sasa hajapata joining instructions.
Naomba kama kuna mtu anawezakuipata anisaidie, au kama kuna mawasiliano yatakayoniwezesha kuipata...
WANA JF mkiwa kama wadau wa habari za kuaminika nilikuwa naomba kujuzwa kwamba kama nafasi za kujiunga na JKT au polisi zimetoka kwani viongozi wangu wa kijiji ambao nawategemea wanipe habari...
Sijui kama ni shule zote lakini baadhi ya shule za msingi za wilaya ya Kilombero hasa zilizopo Ifakara mjini zime anza mkakati wa kutoa matokeo makubwa sasa (Big results now ) kwa kurudia...
Naombeni anayeifaham hii shule ikoje kama inafaa kwa science, ipo Mbulu, mdogo wangu amepangwa hapo kwa combination ya CBG. Kama kwa science hawapaform tumshauri tu akapige arts.
Mdogo wangu, binamu matoto wa aunt amepata D moja tu yaani ana DIV 0 ya 34 cha ajabu kanipigia simu anasoma bachelor of education St Joseph Mbezi Dar es salaam , sikuamini nikampigia simu...
Ongezeka la vyuo vingi vinavyotoa certificates na diploma haswa vilivyo chini ya NACTE vinapunguza ubora wa elimu tanzania.Wanafunzi wengi katika sekondari hawana juhudi binafsi kwa sababu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.