Amani hakuna tena kwa wanasua wa khonda maghorofan,ni baada ya ugomvi uliotokea jana usku kat ya wanafunz wa2 na bodaboda mmoja!imebidi polis waje kulnda usalama kufuatia vtsho vya bodaboda wengi...
Operamin vp bado tu
tayari list ya wavulana hapahttp://www.moe.go.tz/index.php?option=com_docman&task=doc_download&gid=221&Itemid=385 na ya wasichana hii hapa mtu wangu Tabalo...
Wanajamvi hasa walim serikal haiwezi hata siku moja kuboresha maslai ya walim zaid inazid kuwarundikia mizigo
Mf mwaka huu kuna BIG RESULT NOW
NA BUSSINES AN USSUAL
huu ni mzigo kwani sio dawa...
naombeni msaada wenu jamani.
nime aply vyuo viwili, MIpango, na EDUCATION, lakini mipango nimepata nakuhusu ualimu bado hawajatoa post hadi sasa, nafikiria sana kuhusu hili naweza nikasubri hadi...
MIMI NI MWALIMU WA SEKONDARI NIPO WILAYA YA MBOZI MKOANI MBEYA,NATAFUTA MWALIMU WA KUBADILISHANANAE KUTOKA WILAYA YA MBALALI MKOANI MBEYA.Kwamawasiliano.0764036606/0658036606
Ndugu wana jf,
Nilipangiwa kazi wilaya mpya ya Kakonko shule ya sekondari Kanyonza ambapo wazazi wenye wanafunzi wa kidato cha nne na uongozi wao walikuja shuleni na soda na maji,tulifanya kikao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.