naombeni mwongozo wakuu kwa anayefahamu vizuri juu ya hili,hivi mtu akimaliza diploma ya clinical officer anaweza kuunganisha kwenda kuchukua MD? au haiwezekani kabisa.
Salaam wana JF.Poleni kwa majukumu na mahangaiko ktk michakato ya maisha ya kila siku.Mwenzenu nimekuwa na wasiwasi juu ya usiri mkubwa unaofanywa na serikali juu maslahi halali ya watumishi wa...
SATURDAY, JULY 20, 2013
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti cha kuhitimu Kozi maalum ya Kwanza ya Mafunzo, katika Chuo cha Taifa...
Mwanafunzi aliyehitimu kidato cha nne (2012), amekutwa akisimamia ujenzi wa zahanati ya wilaya ya Bukombe-Mkoani Geita.
ALipoulizwa kwa nini linta imepinda alijibu ni kwa sababu ya mbao...
Wakuu kwa heshima na taadhima, naomba kuifahamu shule ya sekondary Geita kwani kuna dogo kapangwa form 5 huko kwa kombi ya EGM. Je ni shule ya zamani kwa maana ya uwepo wa walimu wa kutosha na...
Naombeni kuulza kwa anayejua ukweli kuhusu mishara mipya ya walimu please naomba unisaidie. Setifikate ,diploma na degree , hawa wanaotoka nyuo nakuajiriwa.
Hivi kila Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi anayekuja huwa na madiliko katika sekta ya elimu? Huyu aliyepo sijui kama amefuta utoaji wa vyeti vya darasa la saba. Kuna mwingine alikuwepo akataka...
Nimeipata kutoka kwa mwanafunz anayetarajia kujiunga na kidato cha tano kuwa wanapigiwa simu kutoka shule walikopangwa na kuwataarifu waanze kuripoti shule kuanzia tarehe 22/07 na siotarehe 29...
kwa yeyote anaejua shule kwa a -level private yenye mchepuo wa sayansi (PCB) pia iliyo na bweni...naomba msaada wenu mkoa wowote ule tz..pia cmbaya ukiniambia na garama zake kama unazifaham..
Habri za mchana wanajamvi.
Poleni na shughuli za kila siku za kuhakikisha mlo unaenda kinywani. Pia poleni na hongereni kwa mfungo mtukufu ndugu zetu waislam.
Napenda kutoa mawazo yangu juu...
hivi jamani naomba nisaidiwe napata shida katika namna itumikayo sasa kusahihisha mitihani uhusuyo masomo ya lugha je ni sahihi kusahihisha jibu tu? au pengine kufuatilia neno kwa neno ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.