If you want to study in UK, Staff from the university of ULSTER(London and Birmingham branch campuses) are holding student interviews and counselling sessions at LOCUS INTERNATIONALS Dar es salaam...
:help:Habari zenu wana jamii,
naombeni msaada mimi ni miongoni mwa wahitimu ktk taasisi ya technologia dar(DIT). na kupata stashahada ya umeme mwaka huu nimekuwa nikiomba kudahiliwa kupitia tcu...
Wadau naombeni kujua kwa sisi tulio maliza Diploma mwaka huu tutaendaje vyuo vikuu, Maana systeam ya TCU mwaka huu inakataa eti kwakuwa matokeo yetu hayako online ...
Watu wa TCU kwa nini...
KALOLENI CENTRE FOR CPA REVIEW CLASSES
The Centre that Unlocks your Potentials
Je, unahitaji kufaulu mitihani yako ya CPA kwa mara ya kwanza bila ya kurudia?
Je, umerudia mitihani yako mara...
Hellow!
ingawaje mimi ni mtaalam mdogo wa elimu ya jiografia, lkn utafiti wangu mdogo umenifundisha kuwa kuna uhusiano mkubwa wa kuandama kwa mwezi na mvua. kila muda mwezi ukitaka kuandama lazima...
Ni ujumbe wa maandishi niliotumiwa kwenye simu yangu tarehe 19 mwezi 7 mwaka 2013,kwa bahati mbaya au nzuri sijaweza kumuuliza mtumaji hilo swali hilo hapo kwenye 'title' kutokana na sababu zilizo...
naomba michango yenu wadau tuweze kupata hoja za kutosha juu ya namna gani hasa kuna ukweli kuhusu shughuri mbalimbali za kitalii kuathili mazingira yetu.
Members habari ya asubuhi.
Nauliza kwa anayeifahamu vizuri shule ya atlas iliyopo tegeta mivumoni karibu na madale manispaa ya kinondoni. Je ni nzuri kwa watoto wa nursery na kama kuna...
Ndugu wana jf,mimi nimemalza fom six mwaka jana na kfanikiwa kufaulu vzur mchepuo wa HGL.ndoto yng n kuxoma degree ya business administration lakin nimeshndwa kpata vyuo nilivyokua nikivipenda...
Nisaidieni ndugu zangu kama kuna anayejua link yenye orodha ya walio chaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu daraja la tatu a. Nisaidieni kama kuna anayejua tafadhari.
Jamani wandugu, tcu majanga ma2pu. Program nilizokuwa nimejaza, mwanzoni niliwekea YES zote but leo nashangaa leo nimewekewa NO kwenye program nilizokuwa na sifa nazo. Sasa muda umeshapita...
An Introduction to International Finance.
the meaning and importance of international Finance
1. Introduction
International macroeconomics (or international finance) as a subject covers many...
Mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Tegeta jijini Dar es Salaam, Bertha Amir (14),amejinyonga hadi kufa akipinga kulazimishwa na mama yake mzazi kusoma.
Mwanafunzi wa...
Studies on Rural Financial Institution in Tanzania:- BY MH.DR.LUCAS WEBIRO
This paper examines interaction between financial development and economic growth in Tanzania
employing correlation...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.