Ni mchanganyiko boys and girls
iko baharini kabisa
walimu wengi sana, pcm, cbg, egm, Eca, Hge, Hkl,
vurugu sasa hakuna ni shule iliyopoa sana, nilielezwa walimu kwa sasa wanapiga kazi si kama...
Elimu duni pamoja na mila potofu zinasababisha watoto wengi walio chini ya umri wa miaka 18 kukosa kupata haki yao ya kielimu.
Mkurugenzi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Francis...
habari wakuu! ndwika girls ni shule iliyopo wilayani masasi mkoani mtwara ni shule ya serikal bweni lakin namna inavyoendeshwa utadhan ni shule inayomilikiwa na mkuu na walim wke kwan wanajiamulia...
Kwa wadau waliopita dakawa high school, enzi za Mr. Kijame na Igosha...kwa kweli ilikuwa half university na performance ilitisha. Mzee Ndiva, Seimu, Madam na wengineo tukumbushane wadau...viva dakawa.
Leo nimeitwa na DVCAA nikapewa barua kuwa jumanne niende kwenye kikao cha Examination Comittee.
Semister ya pili sikufanya mitihan kwan chuo chetu hakiruhusu mtu kufanya mitihani unless hadaiwi...
Gates Cambridge scholarships are highly competitive, over 90 scholarships valued$13,000 each to be offered for any field of study (Cambridge university, uk)
Deadline for application December this...
http://www.youtube.com/watch?feature=player_detailpage&v=OlvXrNRWDa0#t=13s
batai munhu - YouTube
Yaani hata mm sikuipenda ila mkachangie hata kuwakumbusha Walimu wetu hasira hasara, Wanafunzi...
Wasalam.rejea kichwa cha habari cha husika.kwa yeyote anayejua vyuo tajwa hapo juu hapa nchini kwetu tafadhali naomba link,hii ni kufuatia uhaba wa ajira na mitaji,elimu hii inaweza kuongeza soko...
jaman naomben yoyote ambaye anaju web yoyote ambayo naweza pata basc instruction za minaki au kunipa hayo maelekezo kama vp nchek ktk davidjacob162@gmail.com au 0767967130
1. Wana JF hivi ukichagua Bachelor in Civil Engineering DIT unaweza kupata Mkopo asilimia 100?
2. Katika Civil Engineering specialisation gani ni nzuri.
Kaka zangu na dada zangu mdogo wenu nimechaguliwa kwiro boys PCM lakin hadi leo hii bado sijafahamu joining instruction za kwiro zinapatikana wapi.hivyo naomben msaada wenu mnijuze kama kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.