Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

katika gazeti la leo la nchini Rwanda imeonesha wamezidi kuikosoa serikari yetu hata katika sekta nyingine kama elimu huku wakidai tuombe msaada katika suala zima la elimu. Source:Dear Tanzania...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Wanajf nimechaguliwa mosh tech pcb naomba kujua iyo shule mazingira yake ni mazur kwa iyo comb na kuna wenzangu kama watano ivi wamechaguliwa uko , hivyo naomba kujua mwenye kujua, na ni kweli iyo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani shule ya jk nyerere ipo wapi naombeni msaada please
0 Reactions
0 Replies
945 Views
Naomba msaada wa kupanga matokeo kuanzia mwanafunzi wa kwanza hadi wa mwisho, nimeshaandika S/N 1-263,majina ya wanafunzi ,alama zao kwa masomo 9, Jumla, wastani. Nnatumia microsoft...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Naomba msaada kwa yeyote anayefahamu shule nzuri za private kwenye combination ya HGE. Mdogo wangu kachaguliwa government lakini nataka aende private high school.
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Mimi naomba kuuliza kuhusu hizi vocha za Tcu Muda umeongezwa? Maana wengine kiukweli maisha na uchumi wetu Mungu anajua lazima tupambane sana kupata pesa
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa na wadogo zangu....narudi tena kwa shida ileile ya wiki kadhaa nyuma...Nimeapply TCU Diploma Category nimefikia katika step inayosema NTA LEVEL F 6,FTC,TEACHERS,OTHERS hapo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
TAARIFA KWA BODI YA MIKOPO TANZANIA (HESLB) KUHUSU (RUCO)Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo kikuu cha RUAHA (RUCO) kilichopo mkoani Iringa, Napenda kuwajulisha kwamba viongozi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Samanini ndugu zangu naomba kuuliza post za diploma ya ualimu zinaweza kutoka lini na mhula kuanza lini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jaman anaejua joint instruction ya songea gals ansaidie
0 Reactions
5 Replies
987 Views
Habari zenu wadau JF.?Nina ndugu yangu kachaguliwa kwenda kusoma MUSOMA form VMchepuo wa HGE. Sasa nimejaribu kuulizia hiyo MUSOMA ni shule ipi Marasekondari au MUSOMA TECH SEC..? Naomba msaada...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Asilimia kubwa ya Members humu "JF"elimu waliyoipata haijawasaidia!!?.Mtu unaomba ushauri but unachoambulia ni Matusi na Vidonge/Makavu kavu,Sasa jamani mi nikikuuliza swali kama hunajibu sibora...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
naomba kusaidiwa nataka kubadilisha mazingira ya kusoma nahitaji kufanya masters yangu katika nchi zifuatazo, finland, holand na norway...sasa naomba ushauri ni nchi gani ni nzuri kimasomo na ni...
0 Reactions
0 Replies
712 Views
A student of International Relations will base on which preference when he/she is finding job. Basing in Tanzania Vacances
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Kumekuwa na Taarifa kuwa UDSM kinazalisha vilaza. Napenda kuwahasa wananchi waendelee kusoma pale maana ndio chuo pekee kinachotoa elimu bora kuliko vyote Tanzania. Matatizo ni machacha sana...
3 Reactions
66 Replies
8K Views
wana Jf nimechaguliwa kujiunga kidato cha tano shule ya lyamungo PCB naomba kama kuna mwenye joining instructions hata ya mwaka jana aniandikie vitu muhimu +ada na michango mingine
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Naombeni mniambie vitabu gani ni vizuri ili nivitafute, ADVANCED GEOGRAPHY, ADVANCED CHEMISTRY, AND ADVANCED BIOLOGY
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani nimepangiwa munanila naombeni kama kuna kuna mwenzangu anifahamishe maana nipo moro munanila ni Kigoma
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Jaman msaada kwa yeyote mwenye namba za cm za mkuu wa shule ifakara au namba ya mwalim yeyote ifakara sec.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
National Examination council of Tanzania(NECTA).Serikali kwa kupitia Wizara ya Elimu imefanya mabadiliko kwenye madaraja ya alama za mitihani ya Kidato cha Nne.Hapo awali madaraja yalikuwa ni kama...
0 Reactions
43 Replies
13K Views
Back
Top Bottom