Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wanajamii kwa ànaefaham mishahara iliyoongezwa juzi na serikali aniambie imeongezwa kwa asilimia ngapi?na mshahara wa mwalimu mwenye shahada.
0 Reactions
35 Replies
11K Views
jaman naomba kuuliza nackia kuwa kuna vyuo wamefanya selection kama DIT na vyuo vingine je wameangalia vigezo gani? msaada plz!!!!!
0 Reactions
8 Replies
3K Views
wana JF wanafunzi wa SEKOMU wanaojiandaa kuanza mitihani yao ya kumalizia semister yaani(UE) wamejikuta wanaambiwa kama ulikuwa hujakamilisha ada kulingana na dead line hutakiwi kufanya UE wakati...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Your mother and father have a child, it is not your brother and it is not your sister..... Who is it??????????
0 Reactions
3 Replies
815 Views
Vyeti hivyo ni vya necta, Rita na na elimu ya juu. Tunalalamika hakuna ajira kumbe tunafoji vyeti, Source star tv
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hili suala me linanichanganya kidogo,applications for undergraduate studies zimewekwa kwenye category tofautitofauti.wale wanaotumia form six qualifications wana link yao,wenye diploma...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari wadau, Mwenye vitabu vya Inorganic chemistry A' Level -Part 1 and Part 2 vya Tanzania Institute of Education(T.I.E) anitafute tafadhali! Au kama kuna anayefahamu mahali vinapopatikana...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mkoa na wilaya zilipo na historia kwa kifupi?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kufahamishwa kama inawezekana kupokelewa shuleni(f5) wiki moja kabla ya tarehe ya kuripoti rasmi shuleni ikiwa utakuwa umekamilisha kila kitu.. Thanks in advance..
0 Reactions
20 Replies
2K Views
kama wewe #ULISOMA " hapo MJENGONI HEBU TUPILIA SIFA ZA IYUNGA TECH. AND #TOAUSHAURI KWA MOYO WOTE,kwa walochaguliwa and kama umechaguliwa #USIOGOPE ,HII NI SHULE BOMBA SANA YANA NA INA VIGEZO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huyu mkuu mpya aliyehamishwa Kahororo kutoka shule ya sekondari Bukoba ni kikwazo cha maendeleo ya taaluma.Ameondolewa Bukoba sec baada ya matokeo mabovu ya form iv kwani mwaka 2010 kulikuwa na...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
naomba msaada kuhusu shule ya mara sec...je ni majanga au...ipo fiti
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Naombeni mnitajie vitabu vizuri na vinavyotumika kwa masomo ya comb ya E.G.M
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Jaman nipo kibaha pwani. Nimechaguliwa njombe sekondari. Natafuta m2 wa pande hz anaeenda huko. Au yule aliyemaliza apo anipe information za shulen huko
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Jitokezeni mlopitia Kahororo ili tupange mikakati ya kuiboresha shule yetu. Wengi nakutana nanyi mijini ila hapa siwezi jua nani na yupi na natumia jina lipi. Nasubiri majibu yenu
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habari, wana JF! Nachukua nafasi hii kuwataka(kuwaomba) wote waliochaguliwa kwenda kidato cha tano Pugu boyz tufahamiane au sio?
1 Reactions
21 Replies
4K Views
WALE MLIOFANYA PAPERS ZA BODI (PSPTB) MAY 2013 MATOKEO HAYO FUATA HII LINK PSPTB
0 Reactions
1 Replies
48K Views
kama kuna anae ijua KAHORORO HIGH SCHOOL anieleweshe mchakato mzima. the whole life stely, na kimazingira zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kama una info' kuhusu lini matokeo ya diploma ya walimu wa 2013, tafadhari nieleze maana presure inazidi mno
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wakuu nina f la math lakini nina bios c chem c phy d na engl d niliapply wizara ya afya diploma ya clinical Officer.vp wakuu Hilo f litanigharimu katika selection maana niliapply dit labaratory...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom