Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

kwanza kabsa napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu, kwani mawazo yenu yamekuwa yakiwasaidia watu wengi tu, waliopotea na kukata tamaa, heshima yenu wakuu. Lengo kabsa la kuachia uzi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Iyo shule ni nzuri kwa eca combination?
0 Reactions
10 Replies
9K Views
tunapendeza sana jamani kwann tujichubue unamkosoa muumbaji
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndo kama hivyo ndugu zangu naomba msahada wa kupata JOINING INSTRUCTION na location ya shule LINDI SEC
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wana jamvi kuna dogo ameniachia hii kazi ya kumwangalizia CAS yake yeye ameenda Jeshi Batch ya Pili JKT sasa leo nime LOGIN kuangalia kama kuna chochote pengine nimeangalia kwenye Profile...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwalimu wa literature history english language ,o level to advance level napatkana kwa mwenye tempo na pia anaetaka tution, na mhitimu kutoka chuo kikuu cha Dar es salaam:BA ED. Napatikana dar
0 Reactions
6 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Waenga walinena"kikulacho kinguoni mwako" baada ya kunyonywa na CWT kwa mda mrefu waalimu waanzisha harakati ya kudai haki zao ndani ya CWT,soma muhtasali wa barua yao hii; KAMATI YA WANACHAMA WA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
"Wanasema kweli kikulacho kinguoni mwako" baada ya kunyonywa kwa mda mrefu na CWT waalimu waanzisha harakati za kujikomboa nchi nzima kwa wewe usienataarifa hebu pitia muhtasali wa barua...
0 Reactions
2 Replies
947 Views
Msaada ! Ni mambo gan yanatakiwa kuwanayo ili mtu aione kuwa ni rahisi saana kuimaster?
0 Reactions
25 Replies
14K Views
Hivi karibuni tumefanya uchaguzi wa serikali ya wanafunzi Mipango. Watu walijawa na furaha kubwa kama vile wamepata kiongozi makini na shupavu. kwa upande wangu ni kama kukomboa kuku kwa ngombe...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari JF, Kwa wale wanaotarajia kwenda vyuo vikuu angalieni ITV mtapata msaada jinsi ya kufanya ''application'' za vyuo. Hosts ni DR. Primus Nkwera na wengine. Msikilize kwa makini ili msije...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
nipe habari za huko Magu
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba mwenye majina ya waliopangwa form five mwaka 2013 aniangalizie,SABASTIANO PETER DAUDI S1821/0058 aliko pangiwa na Combination.Thanx
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu?,samahan mi ninatatizo naomba msaada wenu wa kujua tofauti kati ya masters na postgraduate.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
tunapendeza sana jamani kwann tujichubue unamkosoa muumba
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Taasisi ya RafikiElimu Foundation, inapenda kuwatangazia vijana wote wa kitanzania, nafasi za kushiriki katika mafunzo ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali. Bidhaa zitakazo...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Wakuu naomba mnifahamishe kuhusu nyarubanda high schl ya kigoma mazingira kimasomo yanaridhisha?
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mengi yamezungumzwa kuhusiana na kuporomoka kwa elimu yetu nchini. Zaidi, yote haya yanatokea tukiwa hatujapona vidonda vya kupotezewa na ndugu zetu walioathirika na matokeo ya hivi karibuni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nimepangiwa HGE lyamungo me hata sikuichagua first priority(lakin masomo yote9 nna c) nashangaa wamenipanga me nlitaka nisome PCM na topic nshakula za kutosha.malengo yangu kucoma comp science na...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Inakuaje kwamba nimeambiwa na jamaa kwamba usipoenda Jkt baada ya kumaliza 6 huwezi pata chuo so watakibania vp? Maana application ni through tcu inamaana kwamba tcu wataangalia walopita jkt au ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom