Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Wakuu,nimeaply tcu,nmeomba mbeya university bachelor of busnes admin,sasa naomba mwenye uzoef na hcho chuo anisaidie kunieleza quality ya hyo BBA ya must,pamoja na mazingira ya chuo hicho wadau
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari wanajamvi!? Naombeni msaada wa kuniwekea majina ya wasichana waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha 5 huko Kazima Sekondari Mwaka huu. Asanteni sana!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naombeni mniangalizie majina haya baraka mwansele,na ushindi sanga
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Samahan wakuu naomba kujua ni vitabu gani vinafaa kwenye masomo ya 'physics' na 'mathematics?'Ahsanteni wote.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAIS mstaafu ben mkapa kesho anatarajia kuwepo chuo kikuu bugando kwa ajili ya kuweka jiwe la msng jengo la mwl nyerere learning resource center na kuongoza harambee ya jengo hlo.source cuhasso.
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Naomba mwenye majina ya wavulana form five 2013, aniangalizie SABASTIANO PETER DAUDI,S1821/0058 amepangwa wapi?.Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
1K Views
list ya wavulana walochaguliwa kidato cha tano.
3 Reactions
85 Replies
16K Views
wakuu naomba kuuliza eti unaruhusiwa kubadilisha course hapo DIT manake nimechaguliwa course ambayo sina mpango nayo.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Wakuu, Natumai mambo yanaenda sawa. Nimemeliza form 4 mwaka jana na nilifanikiwa kupata daraja la kwanza. Sasa nashangaa wizara husika kunipangia shule ya advance wakati kwenye form nilijaza...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani kwa wanaoijua hii shule wanafundi comb gan naomba anijuzi
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa anaye ijua vizuri shule ya nyerere kitaaluma,mazingira na wapi ilipo please naomba anijuze maana cna uelewa nayo.Ningependa kutoa shukrani zangu kwenu.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kwa wale wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na shule ya secondary ileje,endapo wakihtaj msaada wa info. Wanambie
0 Reactions
0 Replies
1K Views
eti wanajamii,chuo cha WMID kiko wapi
0 Reactions
0 Replies
562 Views
naomba munijuzee juu ya hiyo shule umbwe ipo wapi na maeleo yake
0 Reactions
0 Replies
836 Views
waliosomea/wanaijua Ihungo sec msaada please (PCB)
0 Reactions
1 Replies
3K Views
jamani nawaombeni sana nimeomba kusoma afya ya diploma ya clinical officer serikalini sina uhakika kama watanichagua maana ni c ya ph,b ya chem na d ya bios pia b ya math na d ya eng.wasiwasi...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
wakuu naomba msaada hivi kama unasoma kidato cha tano huku ukirisiti kutafuta credit tatu kuna madhara gani kitaaluma?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
jamani nawaombeni sana nimeomba kusoma afya ya diploma ya clinical officer serikalini sina uhakika kama watanichagua maana ni c ya ph,b ya chem na d ya bios pia b ya math na d ya eng.wasiwasi...
0 Reactions
0 Replies
816 Views
unawezaje kupata joining instruction alaf muda wakuripoti skul ndio huo...wakuu msaada wenu nahitaji
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Cjui iko wap naomba msaada wenu wadau
0 Reactions
0 Replies
886 Views
Back
Top Bottom