Ukweli ni kuwa ni asilimia 1.5 tu ya Watanzania ndio waliobahatika kuunda tabaka la wasomi.
Wasomi wengi wa Tanzania ni matunda ya vyuo vya Magharibi, ndiyo maana hata wazazi wengi wenye uwezo...
MH. DKT. LUCAS WEBIRO : EXPLAIN ACUTE EDUCATIONAL PROBLEMS FACE BUNDA TOWN,MARA.
Bunda Town Community Based secondary schools.
The twenty Community Based secondary schools in Bunda...
Wanafunzi 34,482 walikuwa na
sifa za kujiunga na kidato cha 5,
ila 76 kati yao hawajachaguliwa
kutokana na kuzidi miaka 25. #2013KidatoCha5 View details · East Africa Radio @earadiofm 11m...
Majina ya form five waliochaguliwa yashatumwa kwenye mashule,na kwa sasa wanaandaa joining instructions kwa shule niliyoona majina hayo,shule hiyo imepelekewa wanafunzi 98 kwa comb ya HGL,HGE,EGM...
Jamany walengwa!. Naskia kutakuwa na mkutano wa vijana utakao fanyika udsm! Ni wa siku kazaa! Na umeandaliwa na wizara ya elimu. So, mwenye habari zaidi kuhusu mkutano huu. Plz! Atujuze.
jamani hivi hawa jamaa wanaosubiri post nikutokuelewa au? kila siku ndani ya jukwaa unakuta new thread zaidi ya 5 ambazo zinaulizia post zinatoka lini hivi mnaona raha sana kupost au ni ulimbukeni...
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Azania, Dar es Salaam wakijisomea katika moja ya darasa la kidato cha tano jana.
Matokeo mabaya ya kidato cha nne ya mwaka 2012, yameendelea kuitikisa sekta ya...
Kwa wale wanafunzi wanaotarajia kwenda kidato cha tano mwezi huu.wajiandae kwani muda wowote kuanzia sasa post zao zitakuwa hewani na watatakiwa kuripoti shuleni mapema kwa mujib wa wachunguzi wa...
Mara zote ambazo CWT ilipanga kuanza mgomo, azma yao ilikatishwa na amri ya Mahakama ama mazungumzo baina ya chama hicho na serikali.
Kwa muda mrefu sasa Serikali imekuwa kwenye mgogoro wa...
Ndugu wanabodi kuna taarifa zimenifikia muda si mrefu kuwa inawezekana kabisa mkuu na makamu wake kuondolewa chuon kwa kile kinachosemekana utendaji mbovu na ufisadi.
Wanachuo waligoma wiki...
Licha ya kuwa mataifa mengi yamesaini mikataba mbalimbali ya kimataifa ya kuhimiza elimu kwa wote wanaostahili, mamilioni ya watoto, vijana na watu wazima wamekosa haki hiyo kutokana sababu...
Katika shule na vyuo vingi kitengo cha maadili kimekufa, wengi wamebaki na kitengo cha Weledi Wa Akili (Mental Intelligence).
Utaalamu pasipo maadili ni sawa na gari linalotembea usiku likiwa...
Simiyu- Imani za kishirikina ni tabia kongwe ambayo imekuwa ikiendelea katika jamii mbalimbali nchini ikiwamo mkoa mpya wa Simiyu.
Kutokana na imani hizo, wazazi au walezi wameshindwa kushiriki...
Kuna habari nilizoshindwa kuthibitisha ya kwamba wahitimu tarajali wote wa vyuo vya Elimu ya Juu watatakiwa kwenda JKT kwa mafunzo maalumu mwezi wa Nane. Naomba kama kuna mtu mwenye habari sahihi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.