Hi wana JF,
Ningependa kujua tunapoongelea au kusoma historia mara nyingi utakutana na neno mwaka ...... BC.
Ningependa kujua ni mwaka upi hiyo BC ilianza?
Kwa sababu miaka hii tuliyonayo najua...
Wanajf leo nimeshangazwa na kauli ya mwadhiri huyu pamoja na viongozi wa kitaifa na mkoa wa ccm ktk maafali ya wanaohitmu mwaka huu ktk ukumbi wao Lushoto. CKUFURAHIYA KAULI HIZI ZA WAZI ZA KUTAKA...
Ndugu Wana Jf Naombeni Mnisaidie Kwa Matokeo Haya Naweza Kusomea Nini Na Chuo Gani Matokeo Yako Hivi Hist-c Bio-c Geo-d Kisw-d L-c M-f Civ-d Div 4-26 Naombeni Msaada Wenu
TuKATAE TUKUBALI UGUMU WA HIZI TAALUMa ZA ENGINEERING ,LAW NA MEDICINE HUWEZI KUFANANISHA NA TAALUMA ZA AJABU AJABU KAMA HUMANRESOURCE ,SOCILOGY, MASSCOMM, NDO MAANA NASEMA BACHELOR YA...
TUPINGE TUKUBALI HIZI DEGREE NDIYO BORA DUNIANI AMBAZO NI 1.LAW 2.ENGINEERING 3.MEDICINE (Ya binadamu na waNyAma) 4.pHAMACY 5.ACCOUNTING&FINANCE 6. ECONOMICS 7.GEOLOGY
Jamani kwa mjibu wa ratiba ya shule za sekondari Advanced level wiki hii shule zinafunguliwa. Kwa maana hiyo waliokuwa form five mwaka jana wataanza masomo kidato cha sita. Sijui wengine mnafahamu...
CHUO KIKUU CHA TARIME (KURYA UNIVERSITY)
COLLEGE OF LIFE
kinatangaza nafasi za masomo kwa mwaka wa masomo 2013/2014 kwa degree zifuatazo
VITA miaka4
KUPIGA MKE miaka 3
UNOAJI PANGA miezi2...
Mwanafunzi wa Chuo cha Ufundi (Veta) mkoani Dodoma, Taliki Juma, (22) amefariki dunia baada ya kujilipua kwa kutumia mafuta ya petroli na kujeruhi wengine nane.
Tukio hilo lilitokea juzi saa...
kwa haraka ukijaribu kuwatizama walimu utangundua kuwa hawana utayari na kufanya kazi ya kuwafundisha watoto kwa moyo na kwa uzalendo.cha kushangaza walimu wamefikia hatua ya kuweka wazi juu ya...
THE PROGRAM
The BlackBerry® Scholars Program is a global four-year scholarship program for outstanding women entering their first year of undergraduate study at an accredited college or...
wananikera sana watu wale ambao kucha wana-discuss habar ya koz wanazosoma.vyuo walvyosoma nk.vjana mlioko chuoni fanyen mambo ya msing yaliyowaweka sio ubora wa sehem unayosoma.kuna watu wamesoma...
Wadau,Naandika post hii kwa masikitiko makubwa kuhusu shule ya sekondari MARA iliyopo mkoani MARA (Musoma Mjini). Kama mmoja wa ex-students wa shule hii nimebahatika kuitembelea katika kipindi cha...
Katika hali isiyo ya kawaida kwa taarifa nlizonazo ni kuwa ktk selection ilofanyika A.T.C ni kuwa wakuu wa shule walokutana kufanye selection walikuwa 54 tu nikajiuliza je tz kuna shule za advance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.