naomba kwa yoyote anayefahamu utaratibu wa kuhama shule maana nimeapangiwa tambaza comb ya cbg nina , hata ivo cpo vizuri katika geog, mimi naitaji nihame niende minaki kusoma pcb, je inawezekana...
Ndugu zangu greter thinker naomba msaada kuhusu ufaulu wa muheza high school kwa anaefahamu naomba anifahamishe detail za shule hii na ubora wake.wana jf napenda kuwasilisha hoja.
East Africa Radio @earadiofm 25s Majina ya wanafunzi
waliochaguliwa kujiunga kidato
cha 5 yanatangazwa sasa na
Naibu waziri wa elimu, Philipo
Mulugo. #2013KidatoCha5
Salamu wana jf
nahitaji msaada nifanyeje kwa sababu nimepangiwa HGE wakati nina f ya maths itakuwaje? Na je mbeleni huko iyo f ya maths haitaniletea shida yani chuo kikuu? Na je nikienda kuisoma...
wanajf,kimsingi natafuta tempo ya kufundisha computer ktk college yoyote hapa dar,mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha dodoma with degree program BSE ICT,naomba kuwakilisha kwenu wanajukwaa.
Wakuu nimetingwa hapa naomba mnisaidie kati ya hii koz ya Bachelor of Art with Eductatio ya DUCE na ile Bachelor of Art with Education ya ST.AUGUST hasa ya main campus, Je kati ya hivyo vyuo...
Veneranda Malima
Serikali imeongeza muda wakupeleka maombi ya mkopo Bodi ya Mikopo ya Wanafunziwa Elimu ya Juu (HESLB), kwawanafunzi watakaojiunga namwaka wa masomo wa 2013/2014.
Hayo...
Hivi jaman inawezekana kweli kwa sisi form six..kurud ckul tena bila wadogo zetu wa kidato cha tano....nani atafanya usafi wa shule coz form six hana muda wa kupoteza tena akirudi ckul....!
Mwaka 1953 mchumi mashuhuri duniani, Ragnar Nurkse alitoa tafsiri ya umaskini akisema kuwa ni sawa na duara na kwamba mtu akizaliwa maskini ni rahisi kufa maskni kama hakupata nguvu ya ziada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.