Naomba kujua
Hii shule zaidi ya miaka 15 kila mwaka kitaifa matokeo ya form 4 na form 6 lazima iwepo.
Ila product zake sijawahi kutana nazo sio serikalini hata private sector.
Huwa zinaenda wapi?
Majina ya wanafunzi 640 waliochaguliwa kuomba ufadhili wa masomo ya Samia
Ufadhili wa Samia: Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia ilitangaza majina ya wanafunzi 640 wanaostahili kupata ufadhili...
Subject communication skills.
Question:
Defining communication is not simple. How could you as a scholar define communication different from leyman?
Msaada hili swali linahitaji nini na nini.
Hope Mungu ni Mwema kila wakati
Na wale wagonjwa na walioko Gerezani Mungu awafanyie wepesi ili mpate kupona na kuishi katika Faraja
Naomba Mtu mwenye kitabu Cha Oedipus of the king soft copy...
Sami scholarship yatangazwa tar 27, Leo sep 29 ,majina ya waliopata yatolewa!
Kuna sehemu tunakosea! MAJINA HAYA HAPA
Pia soma: Thread 'Samia Scholarship ni uwekezaji wenye tija' Samia...
Wakuu habari
Naomba kuuliza kama kuna mwanafunzi yeyote continuous kapata mkopo mpaka sasa maana kwa mujibu wa tangazo la HSLB wanadai kuwa wametoa mkopo kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza hakuna...
Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nlichaguliwa chuo kikuu cha St. Francis morogoro course ya MD Lakin sijabahatika kupata mkopo wa Ada maana nilipewa boom peke yake Sasa kutokana na Ada...
TUNAELEKEA MWISHO WA MWAKA 2022, EWE MZAZI/MWALIMU/MLEZI/MWANAFUNZI tunakukaribisha katika mtihani wetu wa kufungia mwaka siku ya Jumatano ya Tarehe 14.12.2022 saa 08:00PM (Usiku) katika somo la...
Habari wanajukwaa.
Naomba kujua mtu anayesoma Electrical Engineering anaweza pia kuwa mtaalamu wa umeme wa kwenye Magari?
Kama sivyo mtu anayehusika na marekebisho ya gari likipata changamoto ya...
HABARI NDUGU ZANGU WANA JF
...NATAFTA MWALIMU WA KUBADILISHANA KITUO CHA KAZI YEYE AJE MBULU MJI MIMI NIENDE ARUSHA AU KILIMANJARO LAKINI HATA BABATI TAKUA NMESOGEA SOGEA. ASANTEN. Phy & Chem...
Tembo ni mnyama wa mwituni katika kundi la wanyama walao majani! Mnyama huyu ana mengi ya kufahamu yenye kuburudisha kufundisha na kutoa miongozo ya jinsi gani mazingira tunayoishi yanaweza...
Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu wa matokeo ya kidato cha nne tangu 2015 hadi 2021. Nimejiridhisha pasipo shaka kuwa katika shule za binafsi sekondari zifuatazo zinafanya vizuri sana hazikosi ndani...
Mimi nimemaliza kidato cha Sita mwaka huu na nimechaguliwa chuo cha st. Francis course ya MD Lakini sikubahatika kupata mkopo wa Ada maana nimepewa boom peke yake na kutokana na Ada ya chuo hiki...
Habari wanaJF.
Kuna ndugu yangu ni muajiriwa wa serikali kama msaidizi wa kumbukumbu. Ana diploma ya "Records management", Anataka mwakani ajiendelee na chuo kikuu kusoma degree ya "Human...
Jambo hili tumebishana sana na watu hapa, Je ili kuwa mwanasheria kamili lazima uende law school?
Je kwa kada kama madactari, nesi, famasi je kwenda internship ni lazima?
Namaanisha je hawezi...
Wakuu nimemaliza certificate two in level three ktk course ya electrical engineering naomba msaada wa kupata scholarship ya diploma ya umeme mwenye kufahamu jinsi ya kupata naomba tufahamishane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.