Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
an aircraft takes one hour to fly from town A to town B at 500km/h. It returns via the same route at 250km/h. Calculate its average speed.
0 Reactions
6 Replies
454 Views
Yamenikuta jana asubuhi, mpaka sasa sijakaa sawa kwa fikra na hasira. Yaani na ugumu huu wa maisha, upandaji huu wa bei, bado mgao wa umeme na maji na ukaribu wa kufunguliwa kwa mashule eti mtu...
28 Reactions
84 Replies
5K Views
Tangu vijana wafunge shule nimekua buzy kusoma vitabu vya Tie viliko online na notes ili ni waandalie wanangu wanao ingia form one na form three vitabu vya kiada sahihi vipya. Ila nilicho gundua...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la Mitihani la Tanzania limeamua kuwapa fursa watahiniwa wa Darasa Saba 2, 194 waliofutiwa matokeo kufanya Mtihani wa Marudio. Mtihani wa Marudio utafanyika tarehe 21 na 22 Disemba, 2022.
1 Reactions
1 Replies
392 Views
Apewe tu. Nchi zilizoendelea zilipata watu kama mtaka zikatoka kwenye ubabaishaji, unyonyaji wa wenyewe Kwa wenyewe. Mnasema hizi nchi zina amani. Amani ni nini? Ni kutopigana tu? Nchi nyingi...
6 Reactions
14 Replies
905 Views
Baraza la Mitihani limetangaza tarehe 21 na 22 kurudiwa kwa mitihani kwa wanafunzi waliofutiwa. Nini maoni yako
0 Reactions
0 Replies
948 Views
Mara nyingi huyu katibu mkuu wa ccm amekuwa akiongea pumba sana katika matamshi yake.Mpaka juzi tu amewaita wehu baadhi ya washiriki ktk kongamano la Taasisi ya mwalimu Nyerere. Sasa nimekuwa...
0 Reactions
40 Replies
11K Views
Habari Naomba kujua ni vigezo gani nivitumie kupata sample size of my study? Mfano: Nahitaji kujua idadi ya wamama wanaotumia uzazi wa mpango kwa jiji la Dar Es Salaam au Nataka kujua uelewa wa...
0 Reactions
5 Replies
429 Views
Naomba kujua kwa mtu aliesoma certificate ya ualim elim ya awali anaweza kusoma diploma ya elim maalum na ni kwa miaka mingap form 4 na divison 3 (C 5 D 4)
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tatizo hata kwenye shule za kata miaka ile no science teachers yaani full utata. Miaka 4 hakuna ajira kweli? Dah bora ningeokomaa na sayansi
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo...
2 Reactions
11 Replies
979 Views
BARAZA LA mitihani Tanzania (NECTA) Linatarajia kutangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi leo. NECTA wametoa taarifa hizo katika kurasa zake za mitandao ya kijamii. Unaweza kuangalia matokeo...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Narudia tena, kuna mwalimu atakuja kuchapika sana wiki hii, aidha kwa ngumi za ndoige au kwa kutumia madaktari wa jadi Haiwezekani uitishe kikao cha wazazi, ghafla nishindwe kuhudhuria kutokana...
6 Reactions
158 Replies
4K Views
Salam wanajukwaa, Nina ndugu yangu anasoma Lita Tengeru sasa kuna somo alipata sup majuzi kati akaenda kusapua na akaendelea na taratibu nyingine za usajili kwa mwaka wa pili. Majibu ya sup...
0 Reactions
6 Replies
758 Views
Kitabu hiki cha Sikudhani kilitumika kama moja vya vitabu vya riwaya kwenye somo la Kiswahili O'level mmiaja ya 80/90. Tafadhali mwenye kujua kinapatikana wapi au ambaye anacho tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
654 Views
Wahenga wanamkumbuka ile bifu ya Mzumbe kama Taasisi ya Elimu na The Hill kama University Nakumbuka hata mafundi mchundo wa Dar tech walikuwa wanawatunishia msuli mainjinia wa UDSM...
1 Reactions
1 Replies
628 Views
Habarini za majukumu wakubwa bila kupoteza muda naomba kufahamishwa jambo hili:- Ninaweza kujifunza ( kufundishwa na mtu) kupiga codi za electronics device bila kwenda chuo? Nina elimu ya kidato...
0 Reactions
7 Replies
881 Views
Mara baada ya Matokeo ya Jana ya Darasa la Saba, niliamua kufanya utafiti wangu Mdogo. Kwanza, nilichagua Mikoa ya Tanzania 20 randomly. Pili, Kila Mkoa nikachagua wilaya 2 . Tatu, Kila Wilaya...
13 Reactions
104 Replies
8K Views
Wazazi somesheni watoto wenu elimu ya Diploma. Nikipita kwenye AJIRA PORTAL ya serikali wanatangaza sana nafasi za Diploma. Hii naiona kama nzuri kwa serikali kwa sbb ndio wanaopiga kazi sana...
1 Reactions
3 Replies
632 Views
Back
Top Bottom