Tusidharau wala kubeza au kuona wameonewa waliokutwa na hatia ya wizi wa mitihani!
Mtoto darasa la saba unamwibia mtihani
Akifika form 2 anaiba tena mtihani
Akifika form 4 anaiba tena...
Udanganyifu kwy mitihani ya darasa la saba 2022 unampunguzia sifa kaimu Katibu Mtendaji wa NECTA Athumani Amasi; za kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo adhimu na kuibua matamanio ya enzi za Katibu...
Kwema wakuu,
Nina mpango wa kurudi shule ukubwani. Nimemaliza degree ya engineering UDSM ila nataka nirudi nisome diploma ya afya.
Naomba kufahamishwa Chuo gani cha serikali (Kwa dodoma na Dar)...
Habari wana JF
Kuna mtoto wa dada yangu anauwezo mkubwa sana ila amesoma katika mazingira magumu sana ya kijijini lakini hajafanikiwa kufaulu vizuri.
Huku tukiendelea kusubiri selection...
Wanafunzi 1, 073, 941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022 wakiwemo wavulana 514, 846 na wasichana 559, 095 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023...
Habari za jioni wandugu?
Nina kijana amesoma kuanzia nursery hadi darasa la saba English medium schools. Matokeo yake masomo yote amepata alama A.
Amechaguliwa kwenda kusoma shule ya sekondari...
Naombeni ushauri jamani kwenye hili swala mimi ni mwanafunzi ninae tarajia kwenda kuanza masomo yangu ya chuo mwaka wa kwanza katika chuo cha mt Agustino (SAUT) MWANZA ni mnufaika wa mkopo kwa...
Wadau kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, tunapoelekea mwisho wa mwaka nimejipanga mwaka ujao nijaribu bahati yangu nje ya nchi, nahitaji kujua namna gani nitapata full funded scholarship hasa...
Ndugu wadau nilikuwa naomba ushauri wenu nipo kwenye ajira ya uwalimu kutokana na. Mda nilioka nahitaji kubadilisha kutoka uwalimu kwenda uhamiaji au Computer science au ICT katika wizara yoyote...
Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inaendelea na lengo lake la kuimarisha sekta ya elimu ujenzi wa madarasa 8000 ya secondary unaendelea.
Lengo la ujenzi wa madarasa haya ni...
Habari za wakati huu,
Kichwa cha habari kinajieleza, kwahyo nisikupotezee muda wako.
Unapoamua kukaa na kuandika histori ya maisha yako kwenye kitabu, unakuwa umefikiria nini hasa?
kwanini...
Habari jf
Nina mdogo wangu, amepatwa na matatizo ya kiuchumi na familia, hali iliopelekea kusimamisha masomo kwa muhula mmoja.
Swali langu je akitoa taarifa kamili kwa loan officer ataweza kupata...
Ndugu zangu, usiku wa leo sijalala vizuri, nimefadhaishwa sana na kitendo cha mwanangu wa darasa la saba aliyekuwa anasoma shule ya St Anne Marie academy ya jijini Dar es Salaam kufutiwa matokeo...
Kama uko Arusha, Songea au Moshi napenda kukushirikisha wazo la huduma na upate. Inbox.
Ni wazo la kimkakati sio pesa za bure, sio betting wala sio upatu. Usije na mawazo hayo! Kwa waliosoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.