Habari, kama kuna uzi naomba niunganishwe tu
Naomba kujua walimu wenzangu huko mlipo hadi kufikia siku mmefunga shule mmefikia wapi kuhusu maazimio ya kazi?
Maana mwaka huu unaoisha nikikumbuka...
Habarini wadau
Nimependezwa mno na kazi za melini.
naomba kama kuna Mdau anafanya kazi kwenye cruiseship anipe muongozo kozi gani za kusoma ili niweze kupata kazi kwenye cruiseship
Asanteni sana
Kuna vitabu vya huyu mwamba, naona ameandika vitabu vingi vya maths advanced. Nimejaribu kuwasiliana nae akanitumia vingine vingi tu! Nawewe jipatie na unaweza kumwambie tu neno ASANTE sio lazima...
yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
Habari za asubuhi,
Leo ndio tar 27, kuna mwombaji wa mkopo yoyote yule ambaye amepata update kwenye dirisha la tatu? Kwa ndugu yangu ngoma bado mbichi.
Unakumbuka enzi izo za vibomu? wengine wakiita nondo, uangaliziaji na makamati ya kimkakati wakati wa mitihani mashuleni? ujanja ujanja wa kila namna ilimradi tu watu wafaulu mitihani.
Baadhi ya...
Wakuu kwa wale wadau wa elimu naombeni mnipe changamoto za twisheni ili niweze kuzihandle vizuri.. Lengo nipige kuanzia darasa la 1 adi form 6 Leo nimeanza na 5 form 4 watarajiwa vipi niwafanyie...
Mtoto mwenye kipaji anapopangiwa kwenda kusoma shule isiyo ya umahiri (isiyo ya vipaji) huyu kipaji chake kitakua ktk mazingira ya shule isiyoendana naye?
Habari Wana JF, nilkuwa nataka kujua kuhusu coz ya MOTOR VEHICLES MACHENICAL pale veta
Je, lazima uanze na level ndogo au unaweza ukanza at na level 2 ..na huwa inachukua muda gani kusoma long kozi?
Ndg zangu habari za leo.
Mwanangu amechaguliwa kujiunga na hii shule. Wameandika pale kuwa ni shule teule je Ina bweni.
Swali la kizushi.
Ina nini unique wanaojua wanijuze
Si mara ya kwanza kuandika Uzi kama huu, naomba wadau wa elimu watafakari hili, kumekuwa na wimbi la watu wengi wasiokua na ajira pia hawajui wafanye nini kutokana na walichokisomea hakina...
Katika harakati za kusaka elimu vyuoni wanafunzi wanakutana na kashikashi nyingi sana zinazosababisha wakati mwingine mpaka mtu kuachana na mambo elimu, mfano kujikuta uko kwenye mgogoro na...
Ninahitaji ku improve Kingereza changu kwa sababu nafanya kazi sipati muda wa kujiunga na chuo. Kwahiyo nilikuwa nahitaji msaada wa kupata mwalimu wa kuwa ananifundisha hasa wakati wa jioni. Niko...
Full name: The University of Dodoma
Shortform(s): Udom
Founded: 2007 as State Huge University in the country
Location: Dodoma Capital City
Website: udom.ac.tz
Mods please put this thing 📌...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.