Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Za kazi wanajamvi, Utafiti uliofanywa na WB kwa kushirikiana na Tanzania umeonesha kwamba kufikia mwaka 2030, mahitaji ya Elimu ya Juu Nchini Tanzania yanatarajia kuongezeka Mara mbili, ndio...
3 Reactions
24 Replies
1K Views
Kwa muda mrefu utafiti wa kitaaluma kuhusu Afrika halikuwa ni jambo linalofikirika kwa watafiti wengi, kwani utafiti kuhusu bara la Afrika ulikuwa na wigo mdogo na matokeo yake kitaaluma hayakuwa...
0 Reactions
1 Replies
482 Views
Kheri ya mwaka mpya wanajukwaa la elimu? Naomba mnisaidie haya maswali ya: 1. The Rydberg constant for hydrogen is 1.09678×107m-1 and that for singly ionized helium is 1.09722.Given that...
3 Reactions
64 Replies
4K Views
Kuna vitu vingi huwa vinatokea maishani kila siku ambapo vinatuathiri kiuchumi moja kwa moja, kwa namna moja ama nyingine. Vitu hivi vinaweza kutokea kwa kupangwa na watu, na vipo ambavyo...
3 Reactions
4 Replies
842 Views
Siko hapa kukupangia namna ya kuishi na familia yako, ila naomba nikushauri kitu; Kumpeleka mwanao akaishi bweni kwanza ni ulimbukeni, kama mtoto ana akili, hata akisoma day atafaulu tu. wapo...
20 Reactions
68 Replies
3K Views
Hali ni mbaya waungwana! Shule za serikali zipo kisiasa ila kiutendaji ni sifuli. Chukulia mfano tu kwa matokeo ya darasa la nne,unakuta shule inawatoto 600+ wa darasa la nne halafu inamikondo...
6 Reactions
18 Replies
867 Views
Nasikitika leo ni siku ya 110 tangu nifanye application online loan REFUND, Nikaahidiwa ndani ya siku 90 napata hela yangu, Sasa shida ni nini hadi sasa kimya tu. Wakubw mnaohusika kweli siku 90...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ili suala la wazazi kulipishwa Motisha kwenda Kwa watumishi haliko SHULE za Umma tu hata shule binafis mfano wake ni Shule ya Msingi Naba iliyoko Mbezi Kwa msuguri Ada darasa la NNE ni Zaidi ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Story short Kuna vyuo vingi sana vya diploma ya afya but wapo ambao wanapata nafasi ya kwenda MD na wengine walitaka kujiendeleza kwa higher diploma ambayo mwaka wa tatu sasa wanasema itaanza...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Habari zenu wadau wa JF. Imeonekana kwa muda mrefu sasa kuwa mambo mengi yenye matokeo hasi ambayo hayawezekani sehemu nyingi duniani, yanawezekana sana kufanyika nchini Tanzania. Jamii ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Naomba msaada 1. Planet X has a mass thrice that of the earth and radius four times that of the earth. Calculate the weight of 80 kg mass on that planet 2. A spaceship is 1012 Km from a certain...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha pili mwaka huu 2022. Kidato cha nne walifanya mtihani wao mapema mno mwanzoni mwa mwezi November. Kwa mwaka jana...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
DEAR GRADUATES, DEAR FRESHERS Dear Graduates, Dear Freshers, God has made it, Among the great failures, You recieved his blessings. Really streets are tough, But God is all-knowing Just trust...
1 Reactions
2 Replies
470 Views
Ndugu Wanajamvi kama mtu ukiwa umepoteza Cheti Cha Form 4 Ukitaka kukipata kingine Baraza la Mitihani Je inabidi uchukue hatua zipi Pili ikiwa Unataka kuajiriwa na unataka Uthibitisho wa kuwa...
0 Reactions
17 Replies
17K Views
Habari Naomba msaada Hii MASTERS OF ARTS IN MONITORING AND EVALUATION inayotolewa na open universty ipoje na ina uwanda mpana kiasi gani??? Je naweza kufanya miradi ya afya katika kitengo...
0 Reactions
3 Replies
531 Views
Kabla hamjafuta Civics nataka nijulishwe, 1. Chama Cha Mapinduzi kilimpindua nani? 2. Tanganyika tunafaidikaje na muungano? 3. Mwenge wa uhuru uko kwa ajili ya maslahi na faida ya nani? Na una...
15 Reactions
75 Replies
4K Views
MTU anaye taka kusoma CPA anatakiwa kuwa Na vigezo gan ? Msaada
0 Reactions
3 Replies
805 Views
Habari wana jamvi, ni Chuo gani hapa kwetu chenye unafuu wa Ada kwa level ya Masters, hasahasa Masters of Business Administration. Na kwa wenye uzoefu kozi hii inaugumu wowote katika usomaji kama...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari wakuu.. Nimekuwa mdau wa elimu kwa muda mrefu sasa, na kawaida yangu huwa ni kujifunza kila sehemu nilipo. Jambo kubwa nililojifunza ni kuwa WAARABU/WAHINDI hawasomeshi watoto wao shule za...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Back
Top Bottom