Somo la Physics, somo la Physics.
Je, Tz hatuna walimu wabobezi kwenye hili somo amaa ni somo gumu sana?
Nakumbuka mimi pia nlivyokua nafanya mtihani wa physics, kidato cha sita, niliteseka sana...
Habarini wakuu,
Kuna ndugu yangu anatafuta shule ya english medium au private ya bei nafuu kwa ajili ya watoto wake walioko darasa la 3,4 na 5. Shule iwe Mwanza maana ndiko anakoishi...
Habari,
Natafuta shule nzuri private ya secondary iwe day. Pia mwenye contact namba za shule inaitwa Christ the king sec school na Mwenyeheri Anuarite sec school.
Namba walizoweka mtandaoni...
Hivi vitoto mda mwengine vinakasirisha sana.ukimueleza unatakiwa kupitia hivi basi analeta uchuo uchuo wake unatamani kukazapa vibao.
Vijana wengi waliopo vyuo ndoto zao wanaamini kuajiliwa...
Mimi labda sijaelewa.
Unakuta shule ya msingi A, ina wanafunzi 123 waliomaliza darasa la saba na wamafaulu wote kuingia kidato cha kwanza mwaka 2023.
Cha kushangaza wanafunzi wote wa hiyo shule...
UFUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI YA SEKOUTURE - JIMBO LA SINGIDA KASKAZINI
UGUNGUZI WA SHULE MPYA YA SEKONDARI, MBUNGE IGHONDO ATAJWA KINARA WA UTATUZI WA CHANGAMOTO YA ELIMU JIMBONI.
Mnamo...
Hivi inawezekana kwa mtu kusoma MD kwa GPA ya 2.7 ya clinical officer nchini Tanzania...?
Kama inawezekana taratibu zipi nifate, maana kuna watu nasikia wanasoma MD na GPA below ya 3
Mwonekano wa Ujenzi wa Shule mpya maalum ya Sekondari ya Bweni na sayansi ya Wasichana katika Mkoa Ruvuma kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita iliyosajiliwa rasmi kwa jina la Dkt. Samia Suluhu...
Natanguliza salamu nyingi wanajamvi,na shukrani kwa Mungu kwa uzima na afya tele kutujalia kuuona mwaka mwingine pamoja.
Naomba kujua kuhusu swala husika...kwa upande wa NECTA na NACTE,wanachukua...
KUHUSU ACCA (ASSOCIATION OF CHARTERED CERTIFIED ACCOUNTANTS)
MAELEZO MAZURI KUHUSU ACCA AMBAYO HUJAWAHI KUYASIKIA SOMA MAKALA YOTE MPAKA MWISHO.. TWENDE PAMOJA…
ACCA NI NINI?
ACCA ni Kifupi cha...
Tafadhali husika na mada,
Hivi kwa mtu aliyeishia kidato cha nne na akapata division 4 ya 32 na anatamani kujiendeleza kimasomo japo ana majukumu ya kifamilia, afanyeje?
Naomba wajuzi wa elimu...
Habari za leo ndugu. Natumai mu buheri wa afya. Wadau, naomba kujuzwa chuo Cha kufundisha kunyoa (vinyozi) kwa hapa Dar, kinapatikanaa sehemu gani, au kinaitwaje? Natumai mtanisaidia kwa hili...
Salamu sana!
Napenda kutoa ushauri kwa Chuo Kikuu binafsi St. Augustine University of Tanzania (SAUT) kutumia nafasi au wakati uliopo kujijenga na kukua kwa kiwango cha juu.
Lengo la kufanya...
Je Unataka mfumo wa kuchakata matokeo kwa shule yako? Mfumo huu hapa utakusaidia kuandaa matokeo, ripoti na timetable kwa urahisi zaidi.
Unapatikana hapa, download tu na anza kutumia
ILI KUTUMIA...
Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80...
Habari Ndugu zangu wa JF,
Leo natamani sana tushare changamoto Za kupata scholarship Kwa vijana wa Kitanzania.
Mim nmekuwa muhanga Kwa muda mrefu wa kutafuta scholarship ili niweze kusoma katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.