Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari humu ndani? Nitangulie kwa kuwapa pole na hongera kwa mapambano na mwezi januari kama tunavyojua ni lazima kila tunapoanza mwaka lazima tuanze na January lakini ni mwezi ambao haujawahi...
0 Reactions
1 Replies
451 Views
Habari wanajamii ,hivi ni mbinu gani walizotumia kufaulu vizuri na kupata gpa nzuri ya kwenda degree kwa wale walioanzia diploma za afya kwa vyuo serikali Kama vile phamacy, clinical medicine na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa hapa JF nani anaweza nisaidia nikapata kitabu kimoja kinaitwa The Black Book au Bukula au Protofee au Book of Shadow. Hayo yote ni majina ya kitabu kimoja tu.
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kumekuwa na malalamiko mengi juu ya lugha ya KUFUNDISHIA shuleni wapo wanaosema tutumie kiswahili wapo wanaosema tutumie kingeleza. Sasa hebu mwenye hoja...
0 Reactions
12 Replies
748 Views
Habari wanandugu, Hivi kati ya nadharia na vitendo katika kozi ya utabibu wapi ni pagumu zaidi, yaani Kama ni mwanafunzi unakuta anajua nadharia vizuri lakini ukimpeleka kwenye vitendo hajui na...
0 Reactions
3 Replies
645 Views
Mimi ni mhitimu wa kozi hii, nilisomea Chuo kikuu cha Rwanda (UNIVERSITY OF RWANDA) Kwa miaka 4 Na mwaka mmoja wa Internship. Nilihitimu mwaka 2020 .Baada ya kumaliza niliomba kufanya Internship...
17 Reactions
94 Replies
15K Views
Wale wanangu wa Tegeta high school ni Pm nikutumie mahela ila nini nataka nifanye party jangwani sea breeze wale wote wa Tegeta high school na majobless tukutane jangwani sea breeze pale...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Waungwana habari za mwaka mpya, Nimekuja jukwaani natafuta mwalimu wa CHEKECHEA shule ipo kiluvya madukani njia ya kwenda kwa waziri mkuu SUMAYE. Kwa aliye tayari aje PM tupange kazi, muwe na...
1 Reactions
2 Replies
668 Views
Habari viongozi? Ni muda kitambo nimekuwa nikifuatilia kujua historia ya chuo kikuu cha Dar es salaam kujua watu waliofanya vizuri zaidi katika kitivo kongwe cha sheria. Kwa ufuatiliaji wangu...
10 Reactions
123 Replies
22K Views
Kanuni ya pili ya Thermodynamics yakanusha Evolution Evolution Deceit. com - This website is the interactive version of the book "Evolution Deceit" by HARUN YAHYA KANUNI (Law) ya pili ya...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hivi karibuni kumekuwa na uandishi wa barua za serikali ambao kila aya inakuwa na namba. Kinachonishangazaa ni kwamba barua zote hazina aya ambayo iko labelled 1, ila zote zina aya ambayo iko...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kutokana na tabia yetu ya kutoijali elimu wananchi hatujui kuwa leo ni siku ya kimataifa ya elimu, ingekuwa ni siku ya walevi tungetangaziwa, siku ya wanawake tungetangaziwa, siku ya kuondoa...
1 Reactions
4 Replies
625 Views
Leo nimekumbuka historia hii kama kumbukumbu: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam almaarufu kama UDSM kilianzishwa mwaka 1961 kikiwa na kitivo kimoja tu cha Sheria. Kilianzia Lumumba na sasa Mwalimu...
7 Reactions
130 Replies
55K Views
ILI KUINUA ELIMU NCHINI TUNAHITAJI KUWAJIBIKA Ili kuweza kuinua ubora wa elimu tunapaswa kutambua kinaganaga maeneo yote ya uwajibikaji, kutambua wakati maeneo hayo yanapokuwa na tatizo, mahali...
0 Reactions
17 Replies
595 Views
Mods naomba msihamishe huu uzi kwenye hili jukwaa naona ndo nitapata msaada kirahisi. Ndugu WanaJF nilikuwa naomba ushauri Mimi nimesomea shahada ya uhasibu na fedha ila nawaza kusomea Mambo...
4 Reactions
63 Replies
4K Views
jamani mlosoma hi koz au mnaofahamu ikoje nisaidieni manake nimekosa food science halafu nataka nisome hii kama daraja la kufikia kweny food science kupitia hii kozi wenye ushauri wowote...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Commercialization ya elimu ikichochewa na grading ya matokeo kitaifa imegeuza watoto wenu watumike kama objects za biashara. Watoto wanateswa, pump material, kisa A. Ndio maana hata A hazina maana...
2 Reactions
5 Replies
442 Views
Nashauri baraza la mtihani wasiishie Kwa kidato cha pili, darasa la Saba na darasa la nne, warudishe pia na kidato cha nne. Kuna madogo huku mtaani tulikua tukiwaambia wasome walikua busy na...
17 Reactions
65 Replies
5K Views
Habari wakuu, naomba msaada Kila nikijaribu kuingia kwenye account inaniandikia "access denied make sure you provide correct username and password" najaribu ku reset password lakini bado inagoma...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimekwenda shule fulani hapa Dar kutaka kumuhamisha kijana wangu anayeingia STD 7 nikaambiwa gharama ni sh 10000/=, Is this real? Cha ajabu risiti hatoi nilipo muhoji maelezo yake hayakunitosha...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom