Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wazee kwema naomba kujua fomula ya kupata ujazo katika tank kwa tani,
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha...
0 Reactions
1 Replies
374 Views
Kwenye points na Division pameandikwa *S.
0 Reactions
4 Replies
597 Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Ni ujinga wa kiwango Cha juu sana kumlinganisha mwanafunzi ambae Ili aifikie shule anatembea km 1 au zaidi na mwanafunzi ambae anasoma na kuishi shuleni...
2 Reactions
8 Replies
479 Views
Wapendwa habari, Naomba nijitokeze hapa na kero ya shule ya msingi kisemvule pwani. Wadau wa elimu, shule hii imesahaulika kabisa? Shule hii haina madawati, madarasa machache. Shule hii ina...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo...
2 Reactions
16 Replies
5K Views
Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi. Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, polen kwa majukumu. Naomba kuunganishwa na group la walimu wa kiingereza ili tusaidiane kulijenga taifa letu. Asanteni
0 Reactions
10 Replies
8K Views
Nawapa salamu wanajukwaa, wala tusitumie muda mwingi sana tuingie moja kwa moja kwenye mada tajwa. Baada ya Baraza la mitihani la Taifa-NECTA kutangaza matokeo ya kidato cha nne ambayo yametoka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Salamu na kazi iendelee. Kichwa Cha habari kinasomeka. Kwa lugha ambayo sio pendwa ni wale wanafunzi waliofeli.Nikitaka kujua idadi yao nafanyaje wapendwa. Msaada wandugu.Msije mkasema nina NGO...
0 Reactions
2 Replies
250 Views
Kila sehemu Kila Kona utasikia walimu wamegawiwa VISHIKWAMBI na kusisitizwa wavitumie kwa maswala ya elimu tu! Wengine wameambiwa ole wao watakaovitumia kivingine Binafsi sipingani na kauli hizo...
4 Reactions
4 Replies
605 Views
Katika maisha Kuna slow learner na fast learner.Sasa Cha ajabu katika masomo yanayohusisha vitendo vyuo vya afya walimu wanakuwa wakali.Ukiuliza swali kwenye practical badala ya kusaidiwa...
1 Reactions
11 Replies
461 Views
Miaka mitatu hii matokeo yamekuwa yakitoka mwanzoni mwa January. Kunaa nini kimewasibu NECTA mwaka huu. Nini kinaendelea huko NECTA?
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Kuna mabadiliko makubwa sana katika ushindani wa matokeo ya kidato cha sita. Wakongwe waliotesa kwa miaka mingi wamepigwa mweleka mkali wakiwemo Marian Girls, Feza boys, Marian boys, Feza boys...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Wazee wa JamiiForums unavyozungumzia suala la shule za serikali zinazoingia 100 Bora katika matokeo ya mtihani wa Taifa kidato Cha nne ni special school pekee zinazoambulia patupu je special...
5 Reactions
103 Replies
6K Views
Kwa wale waliohitimu na waliopo masomoni(ACSEE) . Nahitaji *experience s za waliofanya  mock (advance) kwenye exam room kanda zote mfano EZEB ..n.k *Na hivi ni kweli inakua ni migumu(Mkoa wa Dar...
0 Reactions
4 Replies
757 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Nimepokea taarifa walimu wanapewa mikataba Ili kuhakikisha walimu wanapata matokeo mazuri. Mikataba hiyo inaanzia mkoani kuja mawilayani kufika kwa Kila...
0 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu,leo mdogo wenu nimekuja nna omba mwenye pdf za chands physics na mathematics anisaidie,hali mbaya kiuchumi,asanteni.
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu napenda kuwatafuta Watanzania waliosoma Bournemouth University cha Uingereza. Kama kuna yeyote aliyesoma huko tuwasiliane jamani. Tumesota sana na baridi la Uingereza pamoja na ugumu wa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom