Shule ya Sekondari ya Ngarenaro iliyopo kata ya Ngarenaro jiji la Arusha, imetia aibu ya Mwaka kwa kuongoza kuibuka na sifuri nyingi zipatazo 54 katika matokeo ya kidato cha Nne , yaliyotangazwa...
Habari kwa wanajukwaa, ni matumaini Yangu muwazima wa afya. Tukiwa tunaelekea kuumaliza mwezi wa January napenda kulizungumzia suala la uelewa wa wahitimu wa darasa la Saba ambao kwasasa wako...
Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree.
Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa...
Wasalaam wana JF
Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo:
1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo.
2. Siyo...
Ushauri wangu kwa serikali ifikie wakati na kugawanya shule zenye wanafunzi wengi kuwa shule ndogo ndogo zinazojitegemea, fikiria shule moja kubwa unakuwa na wanafunzi 400 ambao wamepata zero...
Habari Gani Mataalam.
Aisee kina bwana mdogo wangu amefaulu anataka kwenda FormV. Kwa sababu hapa ni nyumbani kwa wajuzi naomba mnisaidie shule nzuri ya formV kwa kuzingatia haya.
1. Mchepuo wa...
Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums:
Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022.
1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili...
Ukipita mitaa mingi ya mijini utakuta watoto wengi wenye uniform wakizagaa zagaa mitaani muda wa vipindi vya masomo hata saa tatu au saa nne wakiwa kwenye vituo vya daladala, sasa kama mimi ni...
Kuna kitu hakipo sawa katika mitihani ya kidato cha nne na jinsi matokeo yalivyo. Nimeambatanisha matokeo ya shule moja ambayo wanafunzi wake wote wamepata daraja la kwanza lakini karibu wanafunzi...
DAR kuna Tatizo Mahali. Katika mkoa ambao wanafunzi wame fail Zaidí ni DAR.
Kwa sasa DAR Siyo sehemu salama Kwa elimu ya mtoto.
Pamoja na facilities kibao lakini performance ni Mbovu sana kupita...
Kama una kijana amemaliza form 4 na ana matokeo mazuri mpeleke akasome CERTIFICATE ya course anayopenda baadae mpeleke Diploma.
Akipata kazi yake au issue zake asome degree akiwa kazini au...
Kama tumavyojua matokeo ya kidato cha nne yametoka jana, Dogo amemaliza Moja ya shule za Ufundi yaani Technical School kwa matokeo yafuatayo; Div. III Pt 22
CIV - 'C'
KISW - 'C'
ENGL - 'B'
CHEM -...
Wakuu Salaam!
Natumai wengi hasa wazazi na jamaa wenye wanafunzi waliomaliza kidato cha nne mwaka jana mnaendelea kutafuta matokeo ya watoto wenu, au jamaa zenu waliofanya mitihani yao ya...
Wanafunzi wamefanya paper mwezi November.
Matokeo ni muhimu sana muda huu. Kwa nin?
Tunataka tuhamasishe watoto wasiende kwenye shule zilizovurunda na tuhamishe watoto wetu wasijuinge kwenye...
Jamani ivi naweza kua na sifa za kufanya mtihani wa A-level kwa matokeo hy kisw-c,bios-c,geo-d, math-f,hist-e,civ-e na eng-e lkn nimerudia mtihani kwa masomo ambayo nilifeli nimept civ-d,hist-c na...
Maisha ya raha tu hayawezi kumfunza mtu. Katika maisha lazima upitie kipindi kigumu walau cha kukupima uwezo wako wa kukabiliana na changamoto. Hata elimu iko katika mkondo huu, kuna wakati chuoni...
Tunapongeza Serikali kwa hatua hii nzuri sana kwa sababu zifuatazo
Inaondoa presha kwa wazazi na wanafunzi pia
Inaondoa wimbi la wizi wa mitihani
Inaondoa shule kupandisha ada kwa sababu ya...
Baada ya matokeo kutangazwa Leo Tarehe 29.01.2023 , na mie kama Mwl Mzoefu nimeona nitoe mtazamo wangu unaobezi katika Matokeo...Kama nimekosea ni ruhusa nikosolewe...[emoji120][emoji120]
1...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.