Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habarii! Msaada nimepata division 4 ya 26 Mwaka huu form 4...matokeo yako Nina C..tatu na D 3 na F..moj Civic-C History-C Geogr-D Mathe-f English-D Kisw-C Bios-D Hapo jamani serikali inawez...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Moja kwa moja kwenye hoja ya msingi, watanzania tuna shule nyingi na kwasababu mbali zikiwepo za siasa karibia kila mtanzania sasa anaweza kusoma na kupata elimu mpka kidato cha nne, kwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
465 Views
Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4, wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua. Hali huwa inakuwaje watoto wakipata...
10 Reactions
21 Replies
1K Views
Dah ngoja me nianze aisee... Tukiwa class kwa mudy physics tulikuwa na utaratibu wa kuuliza maswali kwa kuandika kikaratasi halafu unampa wa mbele yako naye anampa wa mbele mpaka kinafika ubaoni...
37 Reactions
576 Replies
68K Views
Wakuu habarini za usiku huu! Leo Baraza la mitian limetangaza matokeo ya kidato cha nne miongoni mwao alikuwepo binti yangu alihetimu mwaka jana..ivyo amepata matokeo yafatutayo: 26 IV CIV - 'C'...
0 Reactions
12 Replies
861 Views
Kwa nini huwa hatuongelei issues zinazohusu elimu mpaka matokeo yatoke,je Ni kweli kila mtu anaweza kuwa mtaalamu kwenye Mambo yanahusu elimu?,ualimu Ni mgumu sana ,watu wa fani nyingine wawe na...
1 Reactions
6 Replies
449 Views
Mwanafunzi mwenye uelewa mzuri wa lugha ya kingereza hata asipoingia darasani mwaka mzima hawezi pata sifuri katika mtihani wa kidato cha nne. Wewe mzazi ebu hakikisha Mwanao unamjenga katika...
0 Reactions
11 Replies
720 Views
WanaJF, Haiwezekani wanafunzi wafaulu vizuri sana mtihani wa darasa la Saba halafu kidato Cha nne wafeli kiasi hicho. Huko sekondari wanafunzi mmewafanya nini? Hebu kama kuna walimu hapa jamvini...
3 Reactions
9 Replies
590 Views
Nimesoma huu mtihani kutoka shule ya Juhudi ,kama kuna mwanaJF ana mtoto anasoma shule ya Juhudi amtoe
14 Reactions
177 Replies
13K Views
Wakuu naomba tuhusike na kichwa cha habari hapo juu kwa kupeana taarifa na ushauri kama wadau wa Elimu ya juu. Asanteni kwa kusaidiana kama ilivyo mila na desturi Yetu wana Jukwaa hill...
3 Reactions
12 Replies
13K Views
Habari wakuu, Samahani naomba msaada kuna dogo anataka kusoma kuhusu haya mambo. Course gani bora kati ya logistics and shipping na transport and chain management? Naombeni mchango wenu.
1 Reactions
23 Replies
8K Views
Kwahiyo wizara ya elimu ongezeko la division one ndiyo kukua kwa elimu? Nimechukia sana division kujaa kama njugu huku mtaani? Huku watoto wenu wakiwa na poor reasoning kabisa mwishowe tunazalisha...
2 Reactions
9 Replies
665 Views
Habari wana JF ninaomba kuuliza kwa kujua je nitaruhusika kufanya mtihani wa Advance kama ikiwa kwenye matokeo yangu ya O level nina PHYSICS-D HISABATI-C ENGLISH L-C HISTORY-D CHEMISTRY-C...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za humu ndani? Bila shaka wote ni wazima. Nina mdogoangu amepata division 3 ya 23 na ufaulu wake ni: physics-D CHEMISTRY-D BIOLOGY-C B/MATH-F ENG.-D
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hii course nimeiona pale IFM..so mtu anaesoma hii anakua ni fund maeneo gani asa ukiachana na NSSF,PSSSF,NHIF,TASAF
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi. Pamoja na necta...
1 Reactions
2 Replies
764 Views
Nimesikia tetesi kuwa Mheshimiwa Magufuli amepata Phd Chuo kikuu cha Dar Es Salaam. Kuna ukweli wowote kuhusu hili?
1 Reactions
189 Replies
37K Views
Je na wewe unajiuliza juu ya tarehe ya kutoka Matokeo ya kidato cha nne 2022/2023?? Kumekua na maswali Mengi juu ya kutoka kwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka huu 2022. Kidato cha nne...
1 Reactions
12 Replies
13K Views
Back
Top Bottom