Habari....
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka.
Ni Course gani nzuri ya kusoma hasa kwa mtu aliyemaliza Diploma ya Clinical Medicine, ukiachana na Bachelor of Medicine?
Hii kampasi majanga yanazidi kuongezeka na wahusika msipo chukua hatua hamtutendei haki wanafunzi.
Leo jumapili sisi wanafunzi wa BIRM 3 tukiwa tunafanya mtihani wa strategic management lecture...
Wakuu miezi kadhaa iliyopita Naibu Waziri wa elimu Nchini alizungumzia kuhusu wanafunzi wa S/M kuishia std 6 kuanzia mwaka 2023. Sasa hii ni Dec 30 na alisema by this Dec 2022 ataweka mambo mezani...
Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa...
Habari wakuu,
Leo nimepitia moja ya mkakati wa serikali kuhusiana na mabadiliko ya kielimu nchini, na nikaona suala la kunufaisha mikopo wanafunzi wa ngazi ya Stashahada (Diploma), ni moja ya...
Serikali inaandaa syllabus mpya na mfumo wa elimu, katika mambo mapya yanayokuja ni kufutwa kwa somo la Civics.
Japo Watanzania hawaijui katiba ya nchi, walau hili somo liliwasaidia kuijua, sasa...
Wadau wa jamii forums naomba yeyote mwenye kufahamu chuo chochote au mahali popote hapa Dar es Salaam ninapoweza kujifunza 3D modelling and designs na gharama zake nahitaji kuelewa Sana hii kitu
Wakuu salam;
Nina mpango wa kujiendeleza kielimu nje ya nchi,miongoni mwa vyuo vingi ambavyo nimekuwa nikituma maombi wanahitaji pia cheti ya kuthibitisha ujuzi wa lugha ya kingereza yaani IELTS...
Habari wanandugu,
Naulizia kama kuna Chuo kinachofanya Admission mwezi MARCH au miezi yoyote ya mwanzoni wa Mwaka kwa kozi ya Community Development kwa NTA Level 4.
Anwani:unatuma kwenda ; MKUU WA JESHI LA KUJENGA TAIFA,S.L.P 1694 DAR ES SALAAM,SIMU:+255 22 2780588/2780712 EMAIL:info@jkt.go.tz.,hakikisha unaandka barua [1]kuhairisha mkataba wako [2]...
Habarini wana-JF wenzangu.
Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, ninawakumbusha wazazi/walezi wenzangu kwamba, tutenge muda mapema hii kuwanunulia watoto wetu vifaa vya shule, kuepuka gharama...
Wasalamu Wakuu
Leo Baraza la Mitihani Tanzania Bara, Limetangaza matokeo ya Kidato cha Nne Na Kuonesha Ufaulu ukiongezela kwa Asilimia Chini ya 2%. Well And Good.
Lakini Baada ya Kufuatilia...
Tuanze kuelewana,
Elimu ni gharama sana, hasa ukiongelea hizi shule za sekondari za boarding zinazoendeshwa na serikali. Serikali kuendesha shule za boarding kwa sasa imeshapitwa na wakati...
Unaweza kumjengea msingi mtoto wa kufaulu au ni akili zake mwenyewe na kujielewa kwake natamani nione mafanikio ya kijana wangu Sasa sijajua mafanikio katika masomo yanatokana na juhudi binafsi tu...
Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini.
Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona...
Kwanza naishukuru sana serikali na wizara ya elimu kwa kujitahidi kuhakikisha kuwa kila mtanzania anapata nafasi ya kufikia walau elimu ya sekondari bila malipo.
Nikiwa nimefundisha shule za...
Ni mwalimu wa sekondari kwa miaka kadhaa, kwa kipindi kirefu nimekua na Interest ya kufundisha Vyuo vya Kati. Kwa sasa nadhani ni wakati muafaka wa kutimiza hii azma yangu.
Naomba mwenye kujua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.