Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Hi,
Wizara ya elimu,yatakiwa kuongozwa na mtu msomi,experienced,mwenye kujua kesho na kukumbuka jana na juz,mtu aliefanya research mbajmNo
0 Reactions
3 Replies
834 Views
Jaman ndugu zangu wana jf! Naomba kuuliza hv ile chench ya rada mbona cjackia ikizungumziwa tena?? Au ndo hyo imetumika kuundia tume ya kuchunguza matokeo ya f4 2012.? Naomba kuwakilisha!
0 Reactions
0 Replies
765 Views
Huyu kijana ambaye alikuwa naibu spika serikali iliyotoka madarakanu anayejulikana kwa jina la azizi chavuranda kama sijakosea. Zaidi ya wiki sasa namuona kwao dsm wakati wenzake wanaendelea na...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
ndugu zangu nimepoteza cheti changu cha form four , je kuna njia gani naweza kufanya ili nipate kingine
0 Reactions
4 Replies
2K Views
wadau shikamoni, naomba kuuliza hivi ukifanya registration kwenye site ya HESLB unatakiwa usubiri wakutumie password kwenye email uliyoandika, maana nimejaribu ku-login kwa kutumia ile password...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hayaw hayaw sasa yamekuwa.jumatano sio mbali kama una dv 26/27/28 anza twisheni. Ni kupitia link website ya " www.mwananchi.go.tz " kuhusiana na matokeo mazur.GOD IS ALL ABOVE US.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau napenda kuuliza: ni wapi kwa hapa Dsm, naweza kupata Tution nzuri inayofundisha Lugha ya Kiingereza, pia kuna uwezekano wakupata Chuo bila ya kuwa na Cheti cha form 4?
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Naomba kuuliza wapi naweza kupata kusoma kozi ya uzimaji moto vizuri iwe dar lakini hata mkoa pia
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Jamani wanajf nisaidieni et ni kweli mwakani boom litapandishwa kutoka sh. 7500/= mpaka sh.9750/= maana huku chuoni kwe2 ndo habari ilyozagaa.najua ni swala nyeti lakini napenda kujua kuhusu hili
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii post imefutwa
0 Reactions
29 Replies
3K Views
habar wana Jf, hivi serikali imeweka mikakati gani kama sio kunusuru angalau kuondoa kero ambayo imejitokeza mwaka huu kwa form 6 waliomaliza mwaka huu?nahc something went wrong in making...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kutokana na taarifa nilioipata hiv punde inasemekana kwamba matokeo hayo yatatangazwa muda wowte kuanzia sasa...hivyo walengwa munaombwa kuwa na subira na baraza linawaomba radhi kwa presha na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Dar es Salaam. Idadi ya watahiniwa waliofaulu mtihani wa kidato cha nne mwaka jana imeongezeka kwa kati ya asilimia 20 na 23 baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), kufanya marekebisho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina diploma ya ualimu yenye mtokeo ya GPA 2.7.Ninaweza kupata nafasi chuo kikuu?.Naomba msaada wa mawazo.
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Sasa elimu ya msingi na sekondary itaitwa elimu ya msingi ,pia wanafunzi watasoma miaka kumi badala ya kumi na moja .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
inasemekana eti,si matokeo ya form four pekee ambayo yameborongwa,eti PIA na form 6,wamewabolongea eti wanastandadaisha na huko duuu
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Join free email facility connecting you to hundreds of great teachers, students, school owners, libraries, bookshops. It's free. All you have to do is to send an email to...
1 Reactions
2 Replies
852 Views
wana jf nadhani mko cool! kuna jamii ya watu wana amini kuwa kuendesha pikipiki au bicycle kwa muda mrefu inachangia upungufu wa nguvu za kiume! Wakuu je ni kweli...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Waziri wa elimu dr shukuru kawambwa ameeleza kuwa elimu ya primary na secondary kwa pamoja kuwa elimu ya msingi kwa kila mtanzania na itatolewa kwa mda wa miaka kumi. Source chanel ten Habari,
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom