Kwanza namshukuru MUNGU wa mbinguni kwa kuwa mwaminifu kwetu tangu wakati wa kuanza mchakato wa uchaguzi hadi kupatikana kwa ushindi.
Lakini pia niwashukuru wanafunzi wote waliotupigia kura na...
kwanza niseme hellow kwa members wote wa Jamii forum,baada ya hapo ningeanza ku express kile ambacho kimenivuta kuandika ktk suala zima ni wapi elimu yetu inakoelekea.Mwanzo wa miaka ya sitini...
Habar wana jf Naomba kwa anayefahamu namna ya kujiunga na faculty hyo hapo juu ukiwa na Course yoyote ya afya ktk chuo cha Mzumbe University,hasa kwa Clinical Assistant(CA).
Fikra za mtu huendelea kuzunguka katika ubongo kila siku kutokana na aliyoyaona, kuyasikia na mengineyo. Na kuna fikra ambazo hujitengeneza zenyewe katika akili ya mwanadamu, na hii inatokana na...
Kwa heshima naomba msaada wa kunijulisha haya yafuatayo:-
Nimepata mfadhili kanambia nichague kozi ninayotaka atanisomesha ndani ya Tanzania mimi elimu yangu ni O level nina C 2
Suali langu jee...
Wakati nasahihisha mtihani ya watoto ninaowafundisha wa kidato cha pili,nkakutana na mtihani wa kijana aliyeingizwa kidato cha kwanza akiwa hajui hata baba kwa kiingereza ni nn. mtoto huyo...
Tawi la CHASO chuo kikuu cha Tumaini Tanga jana jioni katika kikao serious walimtoa madarakani katibu wao mwenezi baada ya kuingia mkataba na ccm kuhakikisha analizorotesha tawi hilo. Tazama tangu...
Wana jf naomba kuuliza hv kwa kule st.john dodoma kukaa hostel na kupanga ipi inakuwa nafuu. Ninampango wa kwenda kule na je hostel haziwah kujaa kwakuwa naenda diploma na wengine wameripot tayar...
Manispaa ya Songea ime jaa ufisadi wa hali ya juu,ambapo watendaji wake wanafanya hujuma kwa walimu wa sayansi ambao walitakiwa kuwa na semina ya kuongeza ufanisi katika taaluma yao ya...
Nilikusikiliza jana unlipokuwa unachangia hotuba ya wizara ya mambo ya vijana michezo na utamaduni, huku ukiwaponda wanamziki wa kisasi kipya. Katika mchango wako kilichoniudhi ni kitendo cha...
I am offering one (tuition free) scholarship for an interested person to study Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology or Bachelor of Business Administration at the...
Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila
wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka!
Mfano ni...
Wazee wa Aza boy mpoo?
Hebu leteni stori wajameni tukumbuke tulipotoka!. ngoja mi nianze na stori za yule ticha anaitwa "mchwa". siku moja mchwa alimkuta jamaa anavuta bangi, kuona vile Mchwa...
wakuu
naomba msaada wa taarifa juu ya bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi
inawasilishwa lini??????????
MAANA KUNA TETESI KUWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA 2013
YATATOLEWA...
Ndugu zangu wana Jf wote , mimi nimepitai taarifa ya tume iliyo undwa na waziri Mkuu kuchunguza matokeo mabaya ya mitihani ya taifa ya kidato cha nne mwaka 2010,ambayo serikali imeamua kuificha na...
I am offering one (tuition free) scholarship for an interested person to study Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology or Bachelor of Business Administration at the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.