Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya.
Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya...
Hizi bodi zinazosajili vyuo
kama NACTE NA VETA
taratibu zikoje kwa anaejua?\
gharama za usajili wa NACTE na VETA zikoje?
masharti?
ofisi zao zipo wapi?
Salaam wakuu, mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012, matokeo yangu ya mwanzo nilipata div III ya 23 phy-C chem-C bios-B, Na nlikuwa nampango wa kwenda kuchukua Comb ya PCB ,A-level, tatizo...
HEY WANAJAMMII NAOMBE MNISAIDIE NMESOMA COMPUTER LANGUAGE C, NAMEJARIBU KUTENGENEZA PROGRAM ILA NASHIMNWA KUWEKA USER INTERFACE
npen darasa katka hilo plz
Habar zenu wana JF ; napenda niulize ni kiasi gani Rais wetu anayatazama haya yanayoendelea ktk nchi yetu kimsingi ncchi ambayo haina dini lakini watu wake wana dini,na wanaoiongoza kimsigi wana...
Pamoja na jukumu la kuzalisha wataalamu wa fani mbalimbali, taasisi za elimu nchini zina nafasi kubwa ya kutatua changamoto kadhaa zinazolikabili taifa hili.
Kwa mfano, Chuo cha Ufundi Arusha...
Janeth Idrissa (siyo jina lake halisi), amehitimu kidato cha nne akiwa na cheti daraja la nne chenye alama 27.
Kwa kuwa sifa hizo zinakidhi vigezovya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
...Tunatumia fedha nyingi sana zisizolingana na uwezo wetu kuwasomesha watu wachache, ili baadaye na wao walete faida kubwa kiasi hicho hicho katika nchi.
Tunatumia fedha kutafuta faida katika...
Lugha ya Kiingereza ni lugha ya mawasiliano katika sehemu nyingi duniani kuliko lugha nyingine yoyote.
Chombo kinachotumika katika kufanikisha azma ya kukieneza Kiingereza, ni pamoja na Shirika...
kesho siku ya jumanne tarehe 21 kutakuwepo na mgomo kwa chuo kikuu cha dodoma hii imesababishwa na kutojulikana hatma ya fedha ya kujikimu ya wanafunzi kutoka bodi ya mikopo.
Matangazo...
Hivi hii page ya necta facebook ni ya kweli au wanatutia presha tu. Maana wamesema matokeo yapo tayar na ndio wanaendelea kuyaweka kwenye mtandao. Alaf kama mtu anayataka yake atume namba yake ya...
Habari wana jf.
Kama heading inavyojieleza ni kuwa tumeona ni vyema kuanzisha umoja wa wana azania tuliomaliza kati ya miaka tajwa hapo juu lengo ikiwa ni kujuana zaidi, kukumbushana mambo na...
Katika kile kinachoonyesha wizara ya elimu haina imani na walimu wa kiswahili,English,Biology na kiswahili,wameandaa mitihani ya wizara katika masomo hayo.Mtihani utafanywa na wanafunzi wa kidato...
Sijaona kosa la NECTA kuhusiana na failure ya CSEE 2012 kwa sababu zifuatazo;
1. Mtihani ulikuwa standard
2. Usahihishaji ulifanywa na walimu wenyewe
3. Necta waligrade matokeo kwa viwango vya...
Huu ni mwezi May mwishoni, zimebaki siku 8 tu kuuanza mwezi June. Matokeo ya form six hayajatoka, AJABU. kwa kawaida matokeo haya hutoka Mwezi April mwishoni au May mwanzoni, lakini tunajtaribia...
Habari zenu wadau!,,mimi ni miongoni mwa tulisoma Mbezi Beach sekondari kuanzia mwaka 2001 hadi 2005,,naomba tujikumbushe pilika zetu enzi hizo chini ya mwalimu Ng'ang'a,Mshana,Sijali,,pilika za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.