Please Click here to enter our website for details Rise Study Advisors- MBBS and Engineering in China
Study MBBS, BDS (Dentistry), Engineering, Business Management, Nursing etc, in China...
Parents largely blame the government and teachers for the decline in standards. TEA/FILE Nation Media Group
By CORRESPONDENT The EastAfrican
Posted Saturday, May 18 2013 at 16:16
IN SUMMARY...
Siku moja Tangu Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya viwanda na Biashara kusomwa Bungeni,Ni siku hiyo hiyo ndio Wizara ya viwanda kupitia chuo chao cha CBE,Kilitoa Barua kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza...
Naomba chuo sasa natakiwa nichague kati ya Diploma in Animal Health and Production(DAHP) au Diploma in Range Management and Tsetse Control(DRMTC),please walionauelewa zaidi yangu nisaidie tafadhar
Kuna chuo kinaitwa KAM COLLEGE OF HEALTH SCIENCE kinatoa clinical officer na medical laboratory cheti na diploma,wenyewe wanadai wamesajiriwa na NACTE hebu anayefaham anifumbue macho kweli kipo...
Nime apply mkopo HESLB kwa kufuata procedure zote , lakini kuna option moja ya ku print filled forms ndo inanichanganya , ina maana baada ya ku apply online kuna hard copy zinahitajika tena na...
Wakaazi wa visiwa vya zanzibar wakiwa wakijiuliza maswali mengi kutokana na ilekauli ya Rais wa kwanza Marehemu MZEE ABEID.AMANI.KARUME.Alipotamka kuwa, elimu ya wazanzibar ni kusoma bila malipo...
jaman wadau sioni raha kabisa kuona ukurasa wangu haua hata rafiki mmoja, nimejaribu kutuma request but hakuna jibu So jaman naomba mniunge mkono katika hili but remember to Make as many friends...
Tetesi zilizpo kitaa ni kuwa mitian iliyopangwa kusahihishwa upya imeahirishwa kwa kuwa kuna watu waliojinyonga kutokan na matokea hayo na kuna watu waliorudia madarasa au hat kwenda chuo hivyo...
Mwalimu wa kubadilishana kituo cha kazi. Mimi ni mwalimu wa sekondari nipo halmashauri ya mji mpanda, nataka kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka shinyanga mjini, atakayependa kufanya...
Najua nami yanaweza kunikuta ila nawapongeza PSPTB kwa kubadili mfumo wa kupenda kurudia past papers kwenye mitihani yenu......
Ofcz waliofanya PIV wataniunga mkono kwamba paperz za May 2013...
Moja ya gazeti la kiswahili la tarehe 15 Mei, 2013 limetoa tangazo lililosomeka "POSITION VACANT" pamoja na kuweka sifa kedekede za mtu mahiri wanayemtaka aiongoze shule hiyo mpya inayotarajiwa...
Kama wewe ni mhitimu wa kidacho cha sita au una mdogo wako kamaliza kidato cha sita na unaplan kumshaur achague kusoma UDOM especial hii college ya INFORMATICS, nakushaur ufikirie mara mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.