Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Jamani naombeni misaada yenu Mimi nataka kusoma online lakini kwa lugha ya kiarabu nijulisheni vyuo vyenye huduma hiyo
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wadau mwenye tetesi za matokeo ya kidato cha nne 2012, manaake vi2mbo visha anza kuwa joto
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Salam kwa walimu wote, maslah mazur yameishia wapi, maana kabla ya mwez APRIL tulisikia mengi.
0 Reactions
1 Replies
784 Views
naombeni mnisaidie jinsi ya kupata password ya ku log in kwenye system ya CAS.Nimejiregister tayari nimekwama jinsi ya kuendelea coz kila ninapo sign in naambiwa nakosea password na wakati...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ubovu wa matokeo ya kidato cha nne kwa miaka mitatu mfululizo umechangiwa kwa kiasi kikubwa na UWEPO WA SHULE ZA KATA,ambazo kimsingi zina mapungufu mengi sana ikiwemo walimu,vitabu na kukosekana...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
HakiElimu YAKATAA KUFUTA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE. SERIKALI imetakiwa kuacha kukurupuka kufuta matokeo ya kidato cha nne mwaka 2012 kutokana na sababu za msingi za kufeli kwa wanafunzi hao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nime jiunga na mwana jamiiforum, naombeni mnipoke katika jukwaa hili la "Elimu". Nime waletea tangazo hilo mlisome lipo kwa faida yetu sote: MUST COLLEGE ni chuo kipya kinatoa Certificate ya...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Hello Jf members ninajambo linanitatiza nataka ku join open university of Tanzania mwaka huu kwa masomo ya shahada (degree) nishaurini kuhusu faida na hasara kabla sijafanya uamuzi huo! NB:Your...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mnikaribishe katika forum.its me NJALA LIKOKO
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mihtasari ya elimu na kufeli kwa wanafunzi mwaka 2012 Tanzania Watu katika makundi mengi Tanzania wamezungumza sana na kwa kipindi kirefu sasa, kuhusu kila wanachokiita kushuka kwa elimu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hi jf, je ntapat mkopo ktk heslb kwa point hizi? H=F, K=D, L=D. dv iii=15. Pia nmehitimu 4m6 mwaka 2010 nina diploma ya elimu nataka kujoin degree. Plz nijibu accordng to ur education point of view.
0 Reactions
0 Replies
554 Views
wakuu kwema jamani. naombeni msaada wenu wa kimawazo. nataka kusoma kozi ya stashahada ya Uzamili katika fani ya Ununuzi na Ugavi (POST GRADUATE DIPLOMA IN PROCUREMENT AND SUPPLY CHAIN...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Chuo cha kampala kimepunguza ada zake kwa kiwango kikibwa mno kuzidi ata vyuo vingine vya serikali. Habari nilizopewa na mwanafunzi mmoja wa chuo icho amesema sasa atalipa sh laki 4 za Kitanzania...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
For the past 10 years, Tanzania has been proudly announcing promising growthfigures released by the World Bank and International Monetary Fund.Statistics show that Tanzania's economy has been...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Taarifa ya kamati ya Pinda kuhusu mtihani wa kidato cha nne,ilitakiwa kusomwa na mwenyekiti wa tume au na Lukuvi,kwa sababu bila kukosea mwenyekiti wa tume hiyo ni Profesa Sifuni Mchome. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
779 Views
KAMA BAADHI YA WATU WANGEULIWA NA TAIFA WAKATI WA UTOTO WAO INGEWEZEKANA TUSINGEKUWA NA WEZI NA MAFISADI NA WAARIBIFU WA NCHI SASA.unaweza kuzani ni upuuzi LAKINI MWANAFALSAFA ARISTOTLE ALIUTETEA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana jamii, naombeni mniambie hivi mtu anaruhusiwa kujiunga na open university kama ndo ana mwaka mmoja kazini? alihitimu dip ya ualimu mwaka jana now ameajiliwa.
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Kutokana na kashfa mbaya ya kulaumiwa kwa matokeo ya CSEE kuwa mabaya hapo awali,ikapelekea kufutwa na kupangwa upya kufuata vigezo vya mwaka 2011 kwa walio kuwa candidates. Ni tetesi kuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watumishi wa wilaya ya mbulu wanalalamika sana kutokana na kucheleweshewa mishahara yao/marupurupu yao kwani ndo wilaya ya mwisho kabisa!! Katika wailaya hii watumishi mpaka sasa mshahara wa mwezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama kuna mtu anayejua mahali shule hizi zilipo anielekeze 1.KIBUGUMO SECONDARY-Inapatikana TEMEKE 2.MAKURUMLA SECONDARY-Inapatikana KINONDONI Naomba nijulishwe exactly location yake zilipo na...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Back
Top Bottom